Hivi ndivyo nimjuavyo Mwigulu Nchemba

Hivi ndivyo nimjuavyo Mwigulu Nchemba

Kweli huyu bwana ni jasiri wa kupindukia hata siwezi kubisha katika hili.
Kila nikikumbuka tukio mabomu la Soweto, Arusha kwenye mkutano wa kufunga kampeini nakubaliana nawe!
 
Wanabodi toeni hoja mbadala, badala ya kushout! tuelezeni kama sifa za Mh.Mwigulu zilizotolewa kama sio na sahihi ni zipi.
 
FAHAMU,UJASIRI NA MSIMAMO WA MH:MWIGULU NCHEMBA HAUJAOTA KAMA UYOGA,NILIPATA KUSOMA NAYE NA HUYU NDIYE MWIGULU NCHEMBA NINAYEMFAHAMU MIMI NA WATANZANIA WENYE UWEZO WA KUCHAMBUA UWEZO WA VIONGOZI WETU.

1798508_499004793537271_1354415385_n.jpg

NDG zangu nilipata bahati kusoma shule moja na kiongozi huyu kidato cha 1-4 Ilboru (1994-97) na kidato cha 5-6 (1998-2000) Mazengo na chuo kikuu UDSM na sasa ni mwl niko Dodoma naitwa Hamad.

(1) Nilianza kujua umahiri wa Mwigulu kuongoza pale alipoongoza kama kaka mkuu wa shule yenye kidato cha 5&6 huku akiwa kidato cha tatu. Wanafunzi walimkubali kwani alikuwa akiona hitilafu kwenye masilahi ya wanafunzi anamwita mkuu wa shule na kumwambia makosa ya utawala black and white. Nakumbuka siku moja chakula kilikuwa kibaya akaita wanafunzi tukaenda na sahani akatwambia chakula leo kibaya naomba tusile mpaka nimlete mkuu nimwambie arekebishe. Tukasubiru akajanae akamwambia, nanukuu, mkuu chakula leo ni kibaya hakifai kwa afya ya binadam. Hivyo nimewambia wanafunzi wenzangu tusile mpaka kitakapopikwa kingine. Wakapika "KITEI"

(2) Tukiwa Mazengo kulikuwa na tabia ya

walimu wote kutembeza bakora kila jumatatu. Mwigulu alipochaguliwa kuwa katibu mkuu akamwambia headmaster mwl Msasa aliyekuwa anaogopeka mpk kwa walimu kuwa hataki walimu waje na viboko kuchapa wanafunzi kwa vikosa vidogovidogo kwamba kuna serikali ya wanafunzi na kazi ya kusimamia wanafunzi ni kazi yao wawaache wafanye kazi yao. Alibadili tabia ya wanafunzi kukimbilia kujificha "sudani"

(3) Mwigulu alikuwa akiwambia black&white ma profesa wa chuo kikuu, alipokuwa akipigania upatikanaji wa viti vya kusomea mabibo hostels. Nanukuu, Maprofesa wazima mnatuletea baa humu hostel huku mkijua hatua pakusomea. Hivi ni kweli hamjui tumefuata nini hapa? Sasa wanafunzi wenzangu tutachukua viti vya baa tuvifanye vya kusomea, baa itarejea tukishamaliza shule na kufaulu au watakapotuletea viti.

Wanafunzi zaidi ya 4000 walichukua viti huku wakiimba wanaimani na Chifu jina alilokuwa akifahamika nalo chuoni. Kitendo hicho kilimfanya asimamishwe, wiki 2. Aliporudi akakuta viti hakuna akaita mkutano tena, akasimamishwa wiki 3 akarudishwa baada ya chuo kuweka viti chini ya kila bweni mabibo.

(4)Akiwa BOT nilipata taarifa tokea kwa classmate wetu kuwa Mwigulu alihoji kwa GOV kwanini wakurugenzi wamekopeshwa magari mapya tena bila kodi, wanapewa mafuta yakutosha wala hawaishi mbali lakini wanatumia magari ya pool ya ofisi? Hii ni ukosefu wa uadilifu. Wafanyakazi wakampenda wakurugenzi baadhi wakamchukia baada ya wiki mbili akapewa uhamisho tokea makao makuu kwenda Arusha.

(5) Akiwa kwenye chama rafiki yangu aliyeko Lumumba aliniambia huyu jamaa ana ujasiri wa wapigania uhuru alisema kama ambavyo huwakemea wapinzani akitolea mfano wa mbowe aliyedanganya umma kuwa hataki gari ili kupunguza mzigo ila baadae akachukua jipya kimyakimya na alivyo mlipua mbowe alivyokwenda na kimada wake dubai kwa gharama za bunge (kodi za watanzania), alisema jamaa huyu hamwogopi hata mwenyekiti wake kwenye vikao. Alitilea mfano swala la loliondo.
Mwigulu alipowasikiliza wananchi nakuelewa hoja yao, aliwambia nimewasikia na nimewaelewa. Katika kikao alichoitisha Rais akiwepo mwigulu na badhi ya mawaziri. Mwigulu alisema bila ardhi wananchi wa loliondo hawana maisha hivyo serikali aangalie upya msimamo wake. Ndipo waziri mmoja akasema kuliko kufuata ushauri wa mwigulu bora aache uwaziri. Mwigulu alichofanya alichana karatasi akampa waziri huyo na kumwambia Rais mpe kalamu waziri wako ajihudhuru sasa hivi aende nje halafu sisi tuendelee kujadili maisha ya watu wa loliondo. Waziri akaomba radhi na jambo hilo likaisha mpk leo Loliondo walituma ujumbe wa watu 80 wakimwomba mwigulu akagombee ubunge loliondo au aombe nafasi ya kitaifa ili nao wampigie kura.

(6) Sasa baada ya kuwa Serikalini ameendelea kuweka msimamo kwenye mambo yenye tija kwa watanzania
(A) Kulipokuwa na mjadala wa wabunge wa bunge maalumu kutaka waongezewe posho tokea laki 3 hadi saba, mwigulu alijitokeza nakusema, nanukuu watanzania wanashida sana. Kuna wanaokula mlo mmoja, kuna wazabuni wanadai, walimu wanadai, huduma bado duni hosipitalini. Wabunge hawa wamebajatika kuteuliwa na jambo la katiba ni sehemu tu ya wajibu wao. Hatujawakodi tokea kenya, uganda au ulaya kama consultants.

Anayedhani hapa anapata hela kidogo kuliko alikokuwa kwa heshima zote na afunge virago aondoke zake. Baada ya kauli yake mjadala huu ukafa. Huu ni ujasiri wa aina yake. Taarifa zilisema kuwa wabunge hao walipangiwa laki 8 kwa siku mwigulu akazikataa baada tu ya kuteuliwa kushika wadhifa huo.

(7) Sasa hivi majuzi ameweza kuwambia ukweli wazungu. Hotuba kama hii wazungu walizoea kuona kwa Mwl Julius Nyerere, Kwame Nkrumah, Nelson Mandela na Patrice Emery Lumumba.
MWIGULU NCHEMBA AHUTUBIA BUNGE LA ACP NA EU,APINGA WAZI WAZI MAPENZI YA JINSIA
Sehemu ya Majibu yake ni haya hapa.
As I have just said, the ACP Council recognizes the strategic importance of access of sexual and reproductive health care including family planning. To our values, tradition and beliefs sexual and reproductive health and rights includes pre-and post natal care and safe delivery, prevention and treatment of infertility and STDs including HIV and AIDS, access to contraceptives, reducing the recourse to unsafe abortions and comprehensive sexual education. The matters related to homosexuality are strictly out of contexts. I would argue the international community with due respect to refrain from linking the development assistances with the specific country stand on homosexual policies. Just like there was colonization, and it come to pass, and we have passed through various periods of Development Assistances with various conditionality’s but if we are told to choose between our Values without assistance or Assistance tied with homosexual conditions, we will in top of our voices and in confidence remain with our Values without an assistance in dishonour of homosexual policies.

(8) Zipo taarifa pia kuwa Mwigulu alikataa kupangishiwa hotel baada ya kuteuliwa kuwa naibu waziri kwa madai kuwa watanzania wanashida nyingi hawezi kwenda kuishi hotelini.Walipomwambia ndio utaratibu mwigulu alisema hapendi kwenenda kwa mazoea bali anaenenda kwa uhalisia. Alisema zaidi ya robo tatu ya ndg zake wanaishi nyumba za tembe na nyasi. Hawezi kufanya hotel ndio nyumba yake ya kuishi.

Nisiwachoche, in short Najivunia kumjua kiongozi huyu maarufu aliyevuma kwa kasi zaidi katika siasa za Tanzania. He is Bold, Firm, Visioned and Consistent, ana Sifa za kiongozi anayetakiwa kuongoza Taifa hili tunakoelekea.
Wenu,

Hamad Mohamed
hamadmohamed23@gmail.com
Dodoma
Tanzania

Kwa comment hizi za wachangiaji je ni kweli hizo sifa Mwigulu anazo?
 
Attachments

  • 1902026_673540866041321_296530695_n.jpeg
    1902026_673540866041321_296530695_n.jpeg
    62.9 KB · Views: 112

huu ni upande wa mazuri yake unayoyafamu na umempenda kwa hilo tu. naomba utuambie upande wa mabaya yake pia
 
Wewe mwalimu utakuwa unapakatwa si bure.Yaani umekariri hadi maneno aliyozungumza gaidi na muuaji hata wakati yuko ordinary level.

Mwalimu ukiwa unapakatwa kama MOHAMMED basi ni balaaaaa
 
sa huo ujasiri mbona hata hauonekan kweny matumiz ya hovyo ya pesa za umma zinazofanywa na chama chake? hv mwigulu vs kangi lugola nan jasir ndan ya ccm?

fitna, majungu, siasa za hovyo, uongo na uzandiki..ndan ya ccm ni ujasiri sk hz???
 
unajitengenezea mazingira! Muda uliotumia kuandika hii post, ungetosha kutoa baadhi ya watoto wetu ujinga!

Leo ndiyo unakumbuka haya! tueleze basi na kutukana alijifunza lini!
 
juzi nimemsikia mzee kingunge akitoa positive contribution kuhusu kund kubwa la watz leny maisha dun hata kulko wakt wa mkolon.....kwamba kwa miaka 50 ya ccm haina tofaut na mkolon kwa watu wa chin.....hyo mwingulu yuko wap na vyeti vyake kusimama na kuhoji mambo ka hayo?
 
mbona hamtaki ? Kwani huyu kazusha nyota njema huonekana asubuhi kila la kheri mwigulu kama ulikuwa kaka mkuu mapema hivyo wewe ni kiongozi hakuna mashaka,
 
(3) Mwigulu alikuwa akiwambia black&white ma profesa wa chuo kikuu, alipokuwa akipigania
upatikanaji wa viti vya kusomea mabibo hostels. Nanukuu, Maprofesa wazima mnatuletea baa humu hostel huku mkijua hatua pakusomea. Hivi ni kweli hamjui tumefuata nini hapa? Sasa wanafunzi wenzangu tutachukua viti vya baa tuvifanye vya kusomea, baa itarejea tukishamaliza shule na kufaulu au watakapotuletea viti.

Wanafunzi zaidi ya 4000 walichukua viti huku wakiimba wanaimani na Chifu jina alilokuwa akifahamika nalo chuoni. Kitendo hicho kilimfanya asimamishwe, wiki 2. Aliporudi akakuta viti hakuna akaita mkutano tena, akasimamishwa wiki 3 akarudishwa baada ya chuo kuweka viti chini ya kila bweni mabibo.

Sina uwakika na hili maana nijuavyo Mabibo Hostel 2002 naingia kulikuwa hakuna hivyo Viti na nakumbuka wakati wetu ndio tulifunga ile bar nakuchukua viti, pamoja kupigania kufunguliwa kwa gate dogo kwa ajili ya kwenda kula kitaa.
 
Hii bora ungeweka FB kwa watu ambao hawamjui Lameck sasa hapa tunamjua vizuri umekosea njia No but thank you MwiguluPhobia.
 
FAHAMU,UJASIRI NA MSIMAMO WA MH:MWIGULU NCHEMBA HAUJAOTA KAMA UYOGA,NILIPATA KUSOMA NAYE NA HUYU NDIYE MWIGULU NCHEMBA NINAYEMFAHAMU MIMI NA WATANZANIA WENYE UWEZO WA KUCHAMBUA UWEZO WA VIONGOZI WETU.

1798508_499004793537271_1354415385_n.jpg

NDG zangu nilipata bahati kusoma shule moja na kiongozi huyu kidato cha 1-4 Ilboru (1994-97) na kidato cha 5-6 (1998-2000) Mazengo na chuo kikuu UDSM na sasa ni mwl niko Dodoma naitwa Hamad.

(1) Nilianza kujua umahiri wa Mwigulu kuongoza pale alipoongoza kama kaka mkuu wa shule yenye kidato cha 5&6 huku akiwa kidato cha tatu. Wanafunzi walimkubali kwani alikuwa akiona hitilafu kwenye masilahi ya wanafunzi anamwita mkuu wa shule na kumwambia makosa ya utawala black and white. Nakumbuka siku moja chakula kilikuwa kibaya akaita wanafunzi tukaenda na sahani akatwambia chakula leo kibaya naomba tusile mpaka nimlete mkuu nimwambie arekebishe. Tukasubiru akajanae akamwambia, nanukuu, mkuu chakula leo ni kibaya hakifai kwa afya ya binadam. Hivyo nimewambia wanafunzi wenzangu tusile mpaka kitakapopikwa kingine. Wakapika "KITEI"

(2) Tukiwa Mazengo kulikuwa na tabia ya

walimu wote kutembeza bakora kila jumatatu. Mwigulu alipochaguliwa kuwa katibu mkuu akamwambia headmaster mwl Msasa aliyekuwa anaogopeka mpk kwa walimu kuwa hataki walimu waje na viboko kuchapa wanafunzi kwa vikosa vidogovidogo kwamba kuna serikali ya wanafunzi na kazi ya kusimamia wanafunzi ni kazi yao wawaache wafanye kazi yao. Alibadili tabia ya wanafunzi kukimbilia kujificha "sudani"

(3) Mwigulu alikuwa akiwambia black&white ma profesa wa chuo kikuu, alipokuwa akipigania upatikanaji wa viti vya kusomea mabibo hostels. Nanukuu, Maprofesa wazima mnatuletea baa humu hostel huku mkijua hatua pakusomea. Hivi ni kweli hamjui tumefuata nini hapa? Sasa wanafunzi wenzangu tutachukua viti vya baa tuvifanye vya kusomea, baa itarejea tukishamaliza shule na kufaulu au watakapotuletea viti.

Wanafunzi zaidi ya 4000 walichukua viti huku wakiimba wanaimani na Chifu jina alilokuwa akifahamika nalo chuoni. Kitendo hicho kilimfanya asimamishwe, wiki 2. Aliporudi akakuta viti hakuna akaita mkutano tena, akasimamishwa wiki 3 akarudishwa baada ya chuo kuweka viti chini ya kila bweni mabibo.

(4)Akiwa BOT nilipata taarifa tokea kwa classmate wetu kuwa Mwigulu alihoji kwa GOV kwanini wakurugenzi wamekopeshwa magari mapya tena bila kodi, wanapewa mafuta yakutosha wala hawaishi mbali lakini wanatumia magari ya pool ya ofisi? Hii ni ukosefu wa uadilifu. Wafanyakazi wakampenda wakurugenzi baadhi wakamchukia baada ya wiki mbili akapewa uhamisho tokea makao makuu kwenda Arusha.

(5) Akiwa kwenye chama rafiki yangu aliyeko Lumumba aliniambia huyu jamaa ana ujasiri wa wapigania uhuru alisema kama ambavyo huwakemea wapinzani akitolea mfano wa mbowe aliyedanganya umma kuwa hataki gari ili kupunguza mzigo ila baadae akachukua jipya kimyakimya na alivyo mlipua mbowe alivyokwenda na kimada wake dubai kwa gharama za bunge (kodi za watanzania), alisema jamaa huyu hamwogopi hata mwenyekiti wake kwenye vikao. Alitilea mfano swala la loliondo.
Mwigulu alipowasikiliza wananchi nakuelewa hoja yao, aliwambia nimewasikia na nimewaelewa. Katika kikao alichoitisha Rais akiwepo mwigulu na badhi ya mawaziri. Mwigulu alisema bila ardhi wananchi wa loliondo hawana maisha hivyo serikali aangalie upya msimamo wake. Ndipo waziri mmoja akasema kuliko kufuata ushauri wa mwigulu bora aache uwaziri. Mwigulu alichofanya alichana karatasi akampa waziri huyo na kumwambia Rais mpe kalamu waziri wako ajihudhuru sasa hivi aende nje halafu sisi tuendelee kujadili maisha ya watu wa loliondo. Waziri akaomba radhi na jambo hilo likaisha mpk leo Loliondo walituma ujumbe wa watu 80 wakimwomba mwigulu akagombee ubunge loliondo au aombe nafasi ya kitaifa ili nao wampigie kura.

(6) Sasa baada ya kuwa Serikalini ameendelea kuweka msimamo kwenye mambo yenye tija kwa watanzania
(A) Kulipokuwa na mjadala wa wabunge wa bunge maalumu kutaka waongezewe posho tokea laki 3 hadi saba, mwigulu alijitokeza nakusema, nanukuu watanzania wanashida sana. Kuna wanaokula mlo mmoja, kuna wazabuni wanadai, walimu wanadai, huduma bado duni hosipitalini. Wabunge hawa wamebajatika kuteuliwa na jambo la katiba ni sehemu tu ya wajibu wao. Hatujawakodi tokea kenya, uganda au ulaya kama consultants.

Anayedhani hapa anapata hela kidogo kuliko alikokuwa kwa heshima zote na afunge virago aondoke zake. Baada ya kauli yake mjadala huu ukafa. Huu ni ujasiri wa aina yake. Taarifa zilisema kuwa wabunge hao walipangiwa laki 8 kwa siku mwigulu akazikataa baada tu ya kuteuliwa kushika wadhifa huo.

(7) Sasa hivi majuzi ameweza kuwambia ukweli wazungu. Hotuba kama hii wazungu walizoea kuona kwa Mwl Julius Nyerere, Kwame Nkrumah, Nelson Mandela na Patrice Emery Lumumba.
MWIGULU NCHEMBA AHUTUBIA BUNGE LA ACP NA EU,APINGA WAZI WAZI MAPENZI YA JINSIA
Sehemu ya Majibu yake ni haya hapa.
As I have just said, the ACP Council recognizes the strategic importance of access of sexual and reproductive health care including family planning. To our values, tradition and beliefs sexual and reproductive health and rights includes pre-and post natal care and safe delivery, prevention and treatment of infertility and STDs including HIV and AIDS, access to contraceptives, reducing the recourse to unsafe abortions and comprehensive sexual education. The matters related to homosexuality are strictly out of contexts. I would argue the international community with due respect to refrain from linking the development assistances with the specific country stand on homosexual policies. Just like there was colonization, and it come to pass, and we have passed through various periods of Development Assistances with various conditionality’s but if we are told to choose between our Values without assistance or Assistance tied with homosexual conditions, we will in top of our voices and in confidence remain with our Values without an assistance in dishonour of homosexual policies.

(8) Zipo taarifa pia kuwa Mwigulu alikataa kupangishiwa hotel baada ya kuteuliwa kuwa naibu waziri kwa madai kuwa watanzania wanashida nyingi hawezi kwenda kuishi hotelini.Walipomwambia ndio utaratibu mwigulu alisema hapendi kwenenda kwa mazoea bali anaenenda kwa uhalisia. Alisema zaidi ya robo tatu ya ndg zake wanaishi nyumba za tembe na nyasi. Hawezi kufanya hotel ndio nyumba yake ya kuishi.

Nisiwachoche, in short Najivunia kumjua kiongozi huyu maarufu aliyevuma kwa kasi zaidi katika siasa za Tanzania. He is Bold, Firm, Visioned and Consistent, ana Sifa za kiongozi anayetakiwa kuongoza Taifa hili tunakoelekea.
Wenu,

Hamad Mohamed
hamadmohamed23@gmail.com
Dodoma
Tanzania

Wewe utakuwa mwanamke.....
Au ulikuwa unalala nae bwenini!
 
Kama ana ujasiri mbona ana chukua posho ya ma.ka.li..o?
Hivi Mwigulu ndo alikataa posho ya laki 8?? Kwa mamlaka yepi aliyonayo??
 
Sina uwakika na hili maana nijuavyo Mabibo Hostel 2002 naingia kulikuwa hakuna hivyo Viti na nakumbuka wakati wetu ndio tulifunga ile bar nakuchukua viti, pamoja kupigania kufunguliwa kwa gate dogo kwa ajili ya kwenda kula kitaa.

Ni kweli kabisa mkuu! Mabibo ya Mwaka 2002 ndo ilipigania hii kitu!! Sijui yeye jamaa kaitoa wapi! Atuambie Mabibo alikuwa Room Number ngapi na Block gani, siypo analeta porojo tu hapa!
 
Back
Top Bottom