Hivi ndivyo nilivyomkomesha tapeli wangu,nadhani hatakuja kusahau. Una kisa cha kulipiza tapeli wako?Tujuze wana-JF

Ngaliba Dume

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
1,710
3,669
Hii ilikuwa kama miaka 10 iliyopita,kuna jamaa alikuwa tapeli sana anakaa mitaa ya Kijitonyama njia ya Sayansi unakuja kutokea huku Tandale(Nimesahau jina).Huyu jamaa alikuwa anatapeli sana wanafunzi wa vyuo vikuu akisema anawatafutia kazi ile Taasisi ya Benjamini Mkapa.

Aliwakusanya sana vijana wa IFM,Ustawi wa Jamii,UDSM na Mwalimu Nyerere.Sasa akaja akawa mademu anawala kabisa kwa ahadi ya kazi.Akaja akamla binti na kumtapeli,huyu alikuwa binti mdogo wa besti yangu,ambao nikiwa advance Familia yao ilikuwa kama ubalozi wangu,weekend naenda kula menu mpya nachana na makande.

Sasa huyu mdogo wangu wa kufukia alipopata hii deal akaniomba nimuwezeshe hela za kuhonga apate hiyo kazi.Sababu ya historia na familia yao,sikuwa na hela nikampa laptop aweke bond then akipata kazi ataikomboa,kama kweli kazi ipo.

Sasa yule jamaa akawa amejichanganya akatumia namba ya mkewe kumpigia mdogo wangu,basi na mie kwa tahadhari nikachukua ile namba ya mkewe nikahifadhi in case of anything.Basi jamaa akaiteka ile laptonga,wakati huo hakukuwa na mambo ya mpesa,tigopesa etc...baada ya siku kadhaa nikaona ngoja nitoe hela tuikomboe then tusubiri job.

Baada ya muda wa siku kadhaa jamaa hakupatikana hewani,kumpigia mkewe hajui lolote juu ya utapeli wa jamaa.Basi nikaona isiwe tabu.Nikaanza kumsumbua mkewe mwisho na yeye akazima simu...baadae akapotea kabisa hewani.Nikamtafuta sanaaa wapiii.

Nikahesabu maumivu,nshaliwa na mdogo wangu akakubali matokeo.Baada kama ya maka na ushee,siku moja nikakumbuka ule upigwaji maana nilikuwa nakumbua sana.Nikawa siku hiyo napita maeneo ya ile niia ya sayansi naenda gereji kwa mate wangu.Nikakumbuka tukio then nikapekua ile namba kubeep inaita,nikasema ngoja ntautafuta baadae.

Nimekaa jioni,naona simu inaingia mwanamke anasema nilimbeep,nikamwambia atulie nitampigia...basi kesho yake nikajikoki nikampigia tukaongea sana najifanya namjua na aliwahi nipa namba tulikutana mitaa ya Dar Carnival...kumbe zuga tu.Nikamseti yule mwanamke mpaka akaniamini...

Basi nikawa nachati naye namzuga kuwa nipo Zenji kikazi.Kanambia ukirudi njoo na zawadi.Unaataka nini?Yupo tende na madela...akataka zawadi simple tu.Basi tukawa tunaongea as if tumewahi onana...lakina akawa bado ana hamu anione.

Siku hiyo nikampanga kuwa kesho narudi toka Zenji,tukutane Sinza,akanambia tuonane Hongera Bar...basi nikaenda K'koo nikanunua tende msikiti wa kwa Mtoro,then nikaingia kwenye madela.

Kufika Hongera Bar nikaagiza mguu wa mbuzi...nasubiria,sasa ajabu kumbe mwanamke kakaa meza jirani,sbb hanijui na mie simjui tukawa tunasubiriana.Wakati mi nilimwambia namjua ha ha ha ha....Nimekaa 1/2 saa,nikaamua kupiga,mtu hapokei n yeye anataka mpaka aone jamaa anayempigia...akawa anaangaza...baadae kama machale yakanicheza,nikaandika msg,"Yaani nimekutega nimekaa pembeni yako hapa hata hupokei?"

Nikaona mtu anasoma msg anasoma anacheka,anahamia meza yangu...basi akawa kastuka kuwa hii sura mpya,basi mie nikawa nampigisha story,lkn naona kabisa hanijui ila hana namna...kumuuliza jamaa yake yupo wapi?akasema yupo mkoa

Basi mpigisha bia pale na nyama,akaanza kulewa,ile miti ya miarobaini pale Hongera Bar ikaanza kutupa giza.Ila mwanamke alikuwa bonge sanaa...Savanah zikaanza kumlevya mie napitisha tu kidole,ika akawa anasema mbona mie sikukumbukiiiii....basi mie namsoundisha napotezea hilo swali..Around saa mbili hivi akasema akawacheki watoto aone wamekula na kuoga amuachie dada wa kazi...akakaa kama dakika45,akarudi...tukachukua bajaji mpaka mitaa ya kwa Charls Hilaly ndanindani kuna Guest...nikapiga sana mashine

Wanawake bonge wana maji na nyege hao...basi nikala kama zaidi ya mara tatu..akaanza kujenga mazoea,mara jamaa hamfikishi vizuri,mambo kibaooo...siku jamaa akakuta msg ya mwanamke kaniandikia...akachukua simu kanipiga sana biti.

Baadae jamaa akawa anatumia namba yake sasa kunipiga biti kuwa akinidaka atanitafuna,nikaona huyu analeta masihara,siku nikampandia hewani...nikamwambia we fala sana,nimeanza na mkeo kumtafuna,unafuata wewe...na nimeshajua unapokaa...nimekutafuta sanaa...Wewe si ulitapeli watu kwa gia ya kutafutia kazi ukadhani mabaharia tumesahau,sasa jiandae nakuja kukupasulia yai

Basi toka hapo jamaa akapotea kabisa hewani na mkewe akapotea kabisaa hewani kama wamekufa....Baadae sana nilikuja kukutana na mkewe Mlimani City,hii ni story ya siku nyingine.
 
Hivi miaka 10 iliyopita hapakuwa na mambo ya m-pesa? Au ulimaanisha, zaidi ya miaka kumi iliyopita?
 
Malizia maana apa nshaunguza mboga bira tu ata nisipike nimalizie tu hadithi yako
 
Back
Top Bottom