Me ilikua 2008 mabishano ya kaka zangu yakafanya niijue JF...
Brother mkubwa alirudi likizo kutoka jeshini alikua anatumia blackberry,Ziko fire kipindi hiko balaa na mwingine anatumia Nokia asha.....
Walikua wanabishana kwamba David bekham ameondoka acozione calcio Milano (AC MILAN), Brother mkubwa akasema tuangalie jamii forums Ile wanaangalia wanakutana na Taarifa ya Ricardo kaka ameondoka Calcio Milano kajiunga Madrid...Toka siku hiyo niliamini hakuna mtandao unaoweza kupata taarifa kwa haraka zaidi ya JF...
2010 Ndio nikafungua account yangu ya Kwanza nikiwa natumia Nokia Gege..