Hivi ndivyo nilivyoibiwa kirahisi

Hivi ndivyo nilivyoibiwa kirahisi

Trust no one nowadays
Jama kapatamtungi, kapata na gesi, na usafiri juu. Aisee, huyo jamaa Mungu anamuona
 
Pole Sana mkuu, tunajifunza kupitia makosa
 
Ukame na njaa kali na kufifia kwa uchumi huleta mambo mengi, watu kubuni namna ya kuiba, na pia wauzaji (wafanyabiashara) wanajitoa ufahamu hata wanahatarisha uwaminifu kuona ni heri bidhaa itoke tu....
 
Mtu kama si mteja wako ni uzembe kumruhusu aondoke na mtungi bila hela.
Halafu bodaboda nae kazingua.
 
Poleni sana, mjini mambo mengi na akili nyingi, muhimu tujitaidi kutokua wazembe, usimiamini mtu.

Huu ulikua uzembe wa kiwango cha kudeki lami. Mtu anatokaje nyumbani kwenda kununua gesi hana mtungi wala hela???
 
Matapele,wezi,vibaka wamepemba moto wakati huu. Yaani inafikia hatua mtu anauua mwenzie kwaajili ya sh.elfu8[emoji134][emoji134]
 
Back
Top Bottom