Hivi ndivyo nilivyoamua

ya bia na kitimoto wapi, na mavazi, dharula......bado

hapo kwenye investment changua tena kidogo ili nikuelewe........tutakuwaje marafiki? naona utaninyonya
 
Aisee..!
Ubahili huu
Utapata hawa watoto wa dot com kwa staili hiyo kweli?
Anyway #IKIMBIE ZINAA#
 
Kwa jkm lazima iwe hivo lakini ingekuwa zama za jmk ingekuwa kiyume chake,si zinaingia kwa jitihada kidogo tu!
 
Hahahaa... I thnk the viceversa is true.

Yani ulivyo na hasira umeweka jero ilochoka kabisa.
 
Ha ha h hAaa.. Hapo kwenye Valentine lazima uje na thread ya kuumizwa juma3.
The way we live me and my soulmate it's like the world gonna end tomorrow.

Everyday is our valentine to us. And for tomorrow,we will only go to church and return back home early,so we can finish our last episode of THE STRAIN series (season 2 actually).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…