Hahahaha pole jamaa angu Wanaudhi sana hawa Vinyozi. Mtu style haiwezi anakukomaliaIlishawahi kunitokea hiyo, kuna jamaa nilimwambia anipunguze nywele ila huku pembeni azidishe kidogo (sijui ile style inaitwaje) akaishia kuninyoa kiduku nilimind sana.
Kipara karibu nyumbani kumenoga .
Kipara karibu nyumbani kumenoga .