Hivi ndivyo maisha yalivyo kubali kataa

Hivi ndivyo maisha yalivyo kubali kataa

Killing machine

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2022
Posts
2,374
Reaction score
3,395
Ukifika polini/mbugani utaona Simba wakiwala swala ili waishi japo swala nao Wana taka kuishi ila Wana kula majani amabayo nayo Yana taka kuishi

Ukienda baharini utakuta samaki wakubwa Wana Wala samaki wadogo ili waishi japo samaki wadogo nao wanataka kuishi na wanakula wadudu wa baharini na inchi kavu ambao nao wanataka kuishi

Ukija uraiani utakuta wanjeshi wa inchi frani wanaeda kuwauwa na kupola Mali za wanajeshi wainchi nyingine ili wao waishi

Japo hata wale wanajeshi nao wanataka kuishi

Ukija kwenye siasa utaona chama hiki kina wafanyia ukatiri wa kutisha chama kingine ili chenyewe kidumu kutawala japa hata hicho chama kinataka kutawala pia

Kwa Wana siasa pia utaona mwanasiasa huyu Ana mchinja mtoto /arbino ili ashinde uchaguzi baadae aje a enjoy maisha na familia yake

Japo hata mzazi wa huyo mtoto na yeye anatamani awe na maisha mazuli ili aje a enjoy na familia yake

Maisha Yana tisha maisha Yana ogopesha ila Kama hayaja kukuta life is too easy kwani Yana kuwa hayaja kukuta

Kuna watu Wana fanya kazi za kuteka mabinti za watu Kisha huwa safirisha kwenda kuwauza uko mbele

na wakitoka hapo huenda kufrahia na familia zao Huku wakiwa acha wazazi wenzao kweye masikitiko mazito mno juu ya mabinti zao walio potea

Kuna watu biashara zao niviungo vya watu Yani Figo,moyo,mguu,mkono,vidole, maskio nk

Hufanya hivyo na hayo ndiyo maisha yao Wala hawana hofu na hufanya hivyo kwa ajili ya familia zao ili zi frahi

Je! Unajua kwamba polisi Wana fungwa maskini pekee?

Je!unajua kwamba jela nikwa ajili ya watoto wa maskini?

Je unajua kwamba hapo ulipo wewe unaweza kutendewa chochote na raisi wako

Iki wezekana hata kuchinjwa au kuuzwa na asiulizwe chochote na mtu yeyote?

Maisha Yana shangaza

Kila boss Ana boss wake

Kila raisi Ana raisi wake

Kila mafia Ana mafia wake

Kila chinja chinja Ana chinja chinja wake

Mungu ameya fanya maisha kwa namma ambayo haielezeki

Maisha yame tengenezwa kuhangaika,kuto kutosheka,kuto lidhika,kuto kushiba mpaka tunaenda makabulini

Kwenye maisha Kuna watu Wana kula watu af Kuna watu wanakula wanyanyama na Kuna watu awali wanyama Wala watu wao hula mimea tu

Kama ilivyo kwa wanyama wa polini

Je! unajua kwamba Kama vile ambavyo ng'ombe hupigwa chapa kwamba ni Mali ya mtu frani au inchi frani ndivyo hata wewe ulivyo pigwa chapa?

Kwa mtanzania chapa hiyo hupigwa mkono wa kulia kwa mzambia mkono wa kushoto na kwa Malawi pia Kuna utaratibu wao

Maisha yetu hayana tofauti na wanyama waishivyo polini,samaki waishivyo baharini,Wala ndege waishivyo kwa kuwindana angani

Kama uamkavyo kwenda kuwinda kito weo ndivyo plisi aamkavyo kwenda kumwinda mjinga ili amlipe pesa ama frahi na familia yake

Kama ufugavyo na kuwa tazama ng'ombe wako ndivyo seikali ikufugavyo na kukutazama na kukupigia hesabu wewe na familia yako

Kama uendavyo shambani kwako na kuji chaguli mhindi mzuli kwa ajili ya kuuchoma

Ndivyo Mungu aji chaguliavyo mtu safi,mwenye roho Safi kwa ajili ya chakula chake shambani mwake

Hapo ndipo ulipo zaliwa usemi kwamba watu wema Hawa dumu
Na wenye roho mbaya hawafi mapema kwa sababu mungu havutiwi na roho chafu Bali roho safi

Je unajua kwamba raisi wako nimfano wa Simba mla swala polini?

Na makamu wake nikama chui mla swala mpaka nyani na wanyama engine wadogo wadogo polini?

Je unajua kwamba mbwa mwitu polini nikama majeshi ya inchi?

wao wakiumwa njaa hulana hata wao kwa wao hata raisi au simba akizubaa Ana liwa vizuli tu Cha msingi wao washibe

Maisha yamejaa ubinafsi ,unyama, ukatili,unyanya Saji l,nakila aina ya roho mbaya

Ukiingia mbugani utakutana na wanyama wanaitwa nyumbu. Ukiwa Tanzama nyumbu kwa idadi yao utagundua kwamba huenda ndiyo wanyama wanao zaliana kwa kasi Sana kutokana na wingi wao kuliko wanyama wengine

Nyumbu niwengi mbugani na nyumbu huliwa Sana na Simba hata chui hata mbwa mwitu mbugani

Nyumbu huliwa Sana kwasababu sio kwamba Hawa wezi kukimbia nyumbu wanajua Sana kukimbia

Sio kwamba Hawana nguvu hapana Wana nguvu na pembe zao ndiyo sraha yao

Isipo kuwa nyumbu hawajui kwamba kwanza wao niwengi kuliko wanyama woote mbugani Hilo hawalijui

Pili Simba anaujua udhaifu wao kwamba aki unguruma wao huanza kukimbia hovyo

sio kukusanyika sehemu moja Kama tembo ili kujitengenezea ulinzi

Simba naye hutumia njia hiyo hiyo kujichagulia aliye Nona nakumkimbiza Kati kati yao mpaka kumdondosha na kumtafuna bila kizuizi

Maisha yetu

Bin Adam hayana tofauti na maisha wanayo ishi wanyama mapolini

Miongoni mwetu Kuna watu wenye tabia na Hali Kama za Simba,chui,nyati,fisi,mbwa mwitu, eagle,mamba,nguchilo,nyoka,
nk
 

Attachments

  • 1745472360244.jpg
    1745472360244.jpg
    601.6 KB · Views: 21
Back
Top Bottom