Hivi ndivyo Lowassa alishiriki Richmond

Mnyika sijui kwa nn hataki kushirkiana na serikali tukampeleka mahakama ya mafisadi manaake ana ushahidi wa kutosha huyu baba fisadi
 
Wakina Mwakyembe katika ripoti yao kwenye Bunge hawakumtuhumu moja kwa moja EL bali walisema kutokana na mambo yalivyoenda wanamwachia Waziri Mkuu ajifikirie katika suala zima. EL aljua kwamba Mwakyembe na timu yake waliona mengi na ili kuepuka aibu akajifikiria na kesho yake akabwaga manyanga! Jitihada za kumsafisha EL upya ndio sasa zinaibua ushaidi mpya dhidi yake. Tutasikia mengi. Stay tuned.
Tume ya mwakyembe ilimtuhumu moja kwa moja ikapendekeza ajitathmini kwa kujiuzulu au bunge limhoji tayari mwakyembe alikuwa na mashahidi 41 nje ya bunge wakati anatoa mapendekezo hayo hii ikimaanisha kama lowassa angechagua kuhojiwa maana yake angejitetea Naye alikuwa amejiandaa. Lkn lowassa alivyoona kuhojiwa ni kujichimbia kaburi refu zaidi akakimbia kwa kujiuzulu huku akiomba huruma ya wananchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raisi akikushauri jambo baya kwa jamii yako.
Mwambie jambo hili ni baya na umshauri aliache.
Ukikubali kufanya jambo baya, eti kwa kisingizio cha kuafikiwa na Raisi, basi ujue wewe ndio mbaya.
Mtu mbaya hukubali kufanya jambo baya.
Kusema eti raisi alikuwa anatambua ubaya unaofanyika hakukusafishi ubaya uliotenda.
Je Raisi akikuambia nenda kamchije mwanao, utakubali kufanya hicho kitendo kwa mwanao?
Kutetea ufisadi ni kuwa fisadi, haijalishi nani amefanya.
fikiri zaidi ya hapo.Ina maana walikuwa na lao pamoja.Na ndiyo maana JK hakuwahi kukanusha wala kumruka! Sana sana alisema "ajali kazini"
 
Tume ya mwakyembe ilimtuhumu moja kwa moja ikapendekeza ajitathmini kwa kujiuzulu au bunge limhoji tayari mwakyembe alikuwa na mashahidi 41 nje ya bunge wakati anatoa mapendekezo hayo hii ikimaanisha kama lowassa angechagua kuhojiwa maana yake angejitetea Naye alikuwa amejiandaa. Lkn lowassa alivyoona kuhojiwa ni kujichimbia kaburi refu zaidi akakimbia kwa kujiuzulu huku akiomba huruma ya wananchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tume ya umbea tupu.Kwa makonda alidai hakuhojiwa juu ya uvamizi,hivyo haiaminiki.Ya kwake haikuhangaika hata kumjulisha lakini anataka "iaminike"Undumila kuwili! jamaa ana historia ndefu ya double standard.
 
Tofauti ya lowassa na makonda ni kwamba lowassa alipewa platform ya kujitetea hata kama hakuhojiwa kwenye ile platform ndipo alipotakiwa kueleza ambayo anadhani angeyasema kwenye mahojiano husika yaani angejitetea na upande wa kamati nao walikuwa na mashahidi wao standby lkn badala yake akakimbia unlike makonda hakupewa platform kama hiyo.

Unaweza kueleza maana ya "tungeeleza kila kitu serikali ingeanguka," alikuwa ana maanisha serikali ni Lowassa?
 
fikiri zaidi ya hapo.Ina maana walikuwa na lao pamoja.Na ndiyo maana JK hakuwahi kukanusha wala kumruka! Sana sana alisema "ajali kazini"
Sasa hapo nani mzuri na nani mbaya ?
Kama ni wote basi asitetewe mtu hapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom