Hivi ndivyo Jenerali Qasem Soleimani alivyouawa na Marekani

Status
Not open for further replies.
Sawa kweli kwamba Yamamoto ndiye alimaliza nguvu za Japan kipindi hicho na wala si mabomu ya nyulia yaliyoangushwa Hiroshima na Nagasaki? Basi muda uwe mwamuzi wetu tuone kama kuondoka kwa Soleiman (R.I.P) kama ndiyo kutamaliza nguvu za Iran.
 
Kwanza UISLAM na WAISLAM Walishajipambanua Yakwamba Wao Hawausiki Na UGAIDI Ila Kuna Mataifa Ambayo Yanalazmisha UISLAM Uonekane Ni UGAIDI Nandio Maana Mpaka leo hii Hata Wewe Binafsi Huelewi Tafasiri Halisi Ya UGAIDI


pili Hakuna Mtu Anaezaliwa Nandoto Yakuja Kua Fulani Ila Hutamani Kuja Kua Fulani Baada Ya Kuona Ama Kusikia Tukio Fulani Ama Kufundishwa Mambo Fulani Juu Ya Jambo Fulani

Tatu Kuuliwa Kwa Gen Wa IRAN na Kuhusishwa Na UGAIDI Ni Mambo Yachuki Za US tu Namataifa Yawatu Wakati Ripoti Tele Zinatoka Kwamba US Wana Fadhili Ama Wameunda Makundi Ya Kigaidi Mpaka Hillary Clinton Alokua Anahombania Urais US Alikiri Hili Hapa Tatizo Kubwa Nikwamba Tunakua BRAINWASHED na MEDIA na Isitoshe MEDIA Zote Kubwa Ulimwenguni Zinamilikiw Na Wamagharibi

Wamagharibi wakisimama kuiaminisha DUNIA Yakwamba Wewe Ni GAIDI Watafanikiwa Kwa zaidi Ya 100% Maana Wana Uwezo Wana nguvu Wanachokifanya Wao Nikutafuta Tu SABABU....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapili baada ya RAIS Mtu Mzima Vibaya Kuitwa Muongo Ila Wewe Muongo (Jamaa Alikua wapili kwaushawishi baada ya Ayatollah)

Jambo jengine Afe RAIS Abakie Mkuu wamajeshi Hii Kanuni Umeipata wapi wakati RAIS Ndio Amiri Jeshi MKUU akifa Ujue Vita Vinakosa Msimamizi Maana Vinakosa Muelekeo RAIS Ndio Mtu Anaelindwa Na Mwenye Usalama Zaidi Katika Nchi Husika Labda Kwenye Zile Nchi Ambao Kiongozi MKUU Wanchi Yao Sio RAIS Kama Ethiopia German Israel UK n.k

Huko Kwengne Wacha Nikuache...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Vita za kisasa watu wantumia sana teknologia, mwenye technology ya kisasa zaidi ndo anakuwa mbabe. Yale mambo ya wanajeshi kuvunja matofari sijui na nini huwezi yapiga majeshi ya hawa mabeberu ambo kilasiku wako kwenye uvumbuzi wa technology ya kijeshi. Pia tujifunze kitu kimoja kutoka vita ya iliopita ya Sadam Hussein hawa mabeberu walikuwa na maneno machache sana vitendo ndo vingi. Waarabu maneno mengi sana.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…