Hivi ndivyo Google wanavyo endelea kuitajirisha Apple

Hivi ndivyo Google wanavyo endelea kuitajirisha Apple

c97dd4e1d0771c68cbe0791480522d79.jpg
afu apple naskia wana hela kuzidi had I serikali ya uingereza uk

Sent using Jamii Forums mobile app
sio apple to kampuni zote kubwa za Tech kama Microsoft na Alphabet (google). na sio uingereza tu hadi usa, Apple ana cash nyingi kuliko serikali ya marekani.

na hilo graph uliloeka ni cash, yaani hela ambazo zipo tayari kutumika na hazipo katika mzunguko. kampuni inaweza ikawa na cash kubwa lakini mapato yakawa madogo.
 
[emoji15] kumbe Google inaitwa alphabet pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes Apple ni ya 9 but Toyota ni ya 10

Forbes 2017 Global 2000
mkuu tunazungumzia ki hela, ujue unaweza ukasort kwa aina nyingi nyingi nyingi kama
-ukubwa wa kampuni kwa thamani
-ukubwa wa kampuni kwa faida
-ukubwa wa kampuni kwa mapato
-ukubwa wa kampuni kwa cash etc

ukizungumzia kwa mapato (hela ilioingia) jua walmart lazma iwe ya kwanza, jamaa wanaingiza hela nyingi kupita maelezo, yani ni mara 2 hadi 4 ya haya makampuni makubwa ya tech kama Apple, Google, Microsoft etc
 
China mbona wameingiza sana makampuni? sisi hata kimoja?
 
China mbona wameingiza sana makampuni? sisi hata kimoja?
idadi ya watu mkuu, China na India wanaweza fanya kitu kidogo tu wakafanikiwa sana.

china wanatengeneza tu clone ya site maarufu then zinakuwa kubwa kushinda hata hizo site zenyewe.

mfano Alibaba inauza sana sasa hivi kushinda amazon na ebay kwa pamoja,

huku Tanzania tupo milioni kama 50 tena wachache sana ndio tupo internet huwezi shindana na nchi kama china ambayo mtandao mmoja tu wa simu una wateja zaidi ya milioni 700.
 
Back
Top Bottom