Hivi ndivyo CCM wanavyochakachua picha....

Kaka nashukuru sana ila magamba ugongwa wa taifa ni kirusi hatari zaidi ya UKIMWI ninabadilika kila sekunde kutegemea na mazingira.
 
Sasa anadanganywa nani hapa..kama sio kijidanganya wenyewe!?
 
hahahahhahaahhahahahahahahahahahahahhahahahah niliishasema CCM ni zaidi ya nyani ng'abu
 
Nape au rejao atafutwa kuondoa huu utata...
 
umewapendelea mno kwa kuonyesha only 2 times..ukitazama kwa makini mtu mmoja ame tokelezea mara tatu
 
Hiyo nyomi ilikuwa wapi?
 
ndo kazi ya computer lakini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…