Nnangale
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 2,661
- 1,386
Una uhakika gani kama Chadema hawatatenda mabaya zaidi ya CCM?
Mkuu kidatu acha kuagua kama cdm watafanya kama ccm itabidi kuwatosa nao,lkn siyo nyie genge lenu lina haribu nchi mmeling'ag'ania tu, wakati hata Nyerere alisema ccm siyo mama yake kwa maana wakifanya vibaya ataachana nao.