Hivi ndivyo babu zetu walivyopangwa kwenye meli za watumwa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1583311196147.png
 
halafu walikuwa giant kweli sijui walikuwa wanashindwa wapi?
 
Kupitia Hao Mababu zetu ndio tumepata watu Kama

Tupac, Rick Ross, Lil Wayne, Jay Z, Beyonce, Snoop Dog, Vin diesel, Barack Obama, Rihanna, Mbappe, Wiz Khalifa, John Cena and All black Americans

Usikute Rick Ross Msukuma Au Lil Wayne Mkinga wa Iringa, Pengine Nick Minaj Mmakonde
Barack Obama mtoe hapo plz, yeye ni product ya kijana wa Kijaluo aliyepata scholarship.
 
Ila directors wa Search My Root (Kunta Kinte) hawakuwa realistic. Unawezaje kuwa mtumwa kwenye conditions hizo alafu afro limechanwa vizuri kinoma na linametameta kwa mafuta.

Waliwaiga bongo 'muvi'
 
Kupitia Hao Mababu zetu ndio tumepata watu Kama

Tupac, Rick Ross, Lil Wayne, Jay Z, Beyonce, Snoop Dog, Vin diesel, Barack Obama, Rihanna, Mbappe, Wiz Khalifa, John Cena and All black Americans

Usikute Rick Ross Msukuma Au Lil Wayne Mkinga wa Iringa, Pengine Nick Minaj Mmakonde
Hivi Mbappe pia ni black american! Huyu mwamba miaka yote najuaga ni mfaransa
 
Back
Top Bottom