Hapa naongelea redio kubwa zenye frequency mikoa yote au baadhi ya mikoa na sio redio inayosikika mkoa mmoja au wilaya moja,,so wale wa Dar naomba nisiihusishe E fm wala choice fm wala times fm wala praise power redio.
Mimi vipindi vyangu bora ni hivi
Terminal na xxl ( clouds fm)
morning magic(magic fm)
Kipimajoto na marumbano ya hoja(radio one stereo na capital radio)
The cruise(east Africa radio)
Mimi hivo ndio vipindi bora kwangu,na wewe ongezea vyako
kuna siku alikuwa anamuhoji dogo janja,akamuuliza nasikia dogo una kitu cha hatare halafu wewe sio mtu wa one minute.dogo akamuambia yap
akamwambia sio nakupa halafu sekunde wazungu haao .yaani ungesikia hayo mahojiano ungejua gigy mbaya!