Baada ya Yanga SC kutupwa nje CAF CL na Simba SC kufungwa Kirafiki na Bingwa Mwenzake, ifuatayo ni Ratiba ya Vipindi vya Michezo Redioni Kesho

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Sports Arena (Wasafi FM) Saa 2 na Nusu hadi Saa 5 Kamili Asubuhi

Saa 2 na Nusu mpaka Saa 4 na dakika 55 Watangazaji na Wachambuzi watazungumzia Kufungwa kwa Simba SC na TP Mazembe Goli 1 kwa 0 katika Simba Day leo.

Saa 4 na dakika 55 hadi Saa 5 Kamili watagusia Kiduchu tu Kutolewa kwa Aibu kwa Yanga SC huko CAF CL.

Hili Game (Clouds FM) Saa 3 Kamili Asubuhi hadi Saa 4 Kamili Asubuhi

Saa 3 Kamili mpaka Saa 3 na dakika 50 Watangazaji na Wachambuzi watazungumzia Kufungwa kwa Simba SC na TP Mazembe Goli 1 kwa 0 katika Simba Day leo.

Saa 3 na dakika 50 hadi Saa 4 Kamili watagusia Kiduchu tu Kutolewa kwa Aibu kwa Yanga SC huko CAF CL

Sports Headquarters (EFM Radio) Saa 3 Kamili Asubuhi hadi Saa 6 Kamili Mchana

Saa 3 Kamili mpaka Saa 5 na dakika 45 Watangazaji na Wachambuzi watazungumzia Kufungwa kwa Simba SC na TP Mazembe Goli 1 kwa 0 katika Simba Day leo.

Saa 5 na dakika 45 hadi Saa 6 Kamili watagusia Kiduchu tu Kutolewa kwa Aibu kwa Yanga SC huko CAF CL

Kipyenga Extra (East Africa Radio) Saa 6 Kamili Mchana mpaka Saa 7 Kamili Mchana

Saa 6 Kamili mpaka Saa 6 na dakika 58 Watangazaji na Wachambuzi watazungumzia Kufungwa kwa Simba SC na TP Mazembe Goli 1 kwa 0 katika Simba Day leo.

Saa 6 na dakika 58 hadi Saa 7 Kamili watagusia Kiduchu tu Kutolewa kwa Aibu kwa Yanga SC huko CAF CL.

Natamani sana Redio nyingi za Tanzania hasa katika Vipindi vya Michezo viige Redio yangu pendwa ya Metro FM ya nchini Afrika Kusini na wajifunze kutoka kwa aliyekuwa Mtangazaji wangu bora wa Michezo Robert Marawa ambaye hivi sasa amehamia Super Sports (Dstv)
 
Hivyo vipindi sisikilizagi, na mchambuzi wangu wa muda wote ndo huyo deceaced kashasha

Hao kina wax sijawahi hata kuwahesabu kama ni wachambuzi mi nawachukulia kama mashabiki ambao wako kimaslahi zaidi kuliko kuzungumzia uhalisia
 
Naona mna halalisha kufungwa kwa Simba kwa kutukumbusha kutolewa kwa Yanga.

Nasikia kwa Mkapa hatoki mtu mpaka Manara aombwe msamaha.
Sisi tumuombe manara msamaha au yeye ndo aiombe simba msamaha kwasababu hali inakoelekea huko wana yanga uvumilivu utawashinda

Afu pia yanga inatakiwa kumuomba msamaha mchungaji mashimo ambaye ameipa laana timu yenu. Msamaha wake sio wa maneno anahitaji sadaka ebu mskilize hapa mwenyewe
 
Mchambuzi wangu bora Komredi George Ambangile wala hana "pang'ang'a" za UTIMU NA KUPENDELEA KIZWAZWA.....

#DaimaMbeleNyumaMwiko
 
Naona mna halalisha kufungwa kwa Simba kwa kutukumbusha kutolewa kwa Yanga.

Nasikia kwa Mkapa hatoki mtu mpaka Manara aombwe msamaha.
Ogopa sana Kubakwa mara Mbili na Mwanaume huyo huyo Mmoja tena mwenye Mkurudungu ( Uume ) mkubwa Chumbani Kwako Dar es Salaam ( Tanzania ) na Ghettoni Kwake Port Harcourt ( Nigeria )
 
Sisi tumuombe manara msamaha au yeye ndo aiombe simba msamaha kwasababu hali inakoelekea huko wana yanga uvumilivu utawashinda...
Na kwa Kumuongezea tu mwambie kuanzia Kesho hadi Jumatano huenda Yanga SC ikaachana rasmi na Kocha wake Nabi na kuelekea Mechi na Simba SC Ngao ya Hisani Timu akapewa Mwinyi Zahera na akasaidiwa na ama Said Maulid SMG au Muokoa Jahazi Mkuu Juma Mwambusi.

Kuhusu hatma ya Haji Manara nimhakikishie huyo Mpuuzi kuwa Salama yake Yanga SC ishinde ( imfunge ) Simba SC siku hiyo ila kwa Hasira Kali walizonazo wana Yanga SC wengi na ambao hawajapenda ujio wake hapo kama Yanga SC ikifungwa na Simba SC si tu kwamba Haji Manara atafurumushwa na hata Kupigwa nao ila atadhalilika nao kuliko Yeye alivyotudhalilisha Simba SC.

Tunza ( Tunzeni ) vyema hii Post yangu!!!
 
Mchambuzi wangu bora Komredi George Ambangile wala hana "pang'ang'a" za UTIMU NA KUPENDELEA KIZWAZWA.....

#DaimaMbeleNyumaMwiko
Simkubali kwakuwa ni Muoga, Mnafiki na Hajiamini pia. Kwa Tanzania nikiulizwa Mchambuzi Bora ni nani japo namjua ni Yanga SC lia lia ( nami Mightier ni Simba SC Kindakindaki ) ni Mmoja tu nae ni Ali Mayai Tembele.
 
Simkubali kwakuwa ni Muoga, Mnafiki na Hajiamini pia. Kwa Tanzania nikiulizwa Mchambuzi Bora ni nani japo namjua ni Yanga SC lia lia ( nami Mightier ni Simba SC Kindakindaki ) ni Mmoja tu nae ni Ali Mayai Tembele.
Mkuu Mightier.....

Unaposema ndg.Ambangile ni MUOGA....unaweza kunidadavulia uoga wake?!!!

Binafsi ninamuona ndg.Ambangile kama mtu makini ambaye hapendi kujiingiza katika "tawala za kihisia" zaidi ya "kuoffer akijuacho Upande wa tekniko"....

Tatizo letu "TUMELIZOEA SANA SOKA LA BONGO/AFRIKA ambalo hutawaliwa sana na fitna za siasa za mpira"...

Ndg.Ambangile is "typical" professional who abstains "pang'ang'a"🤣

#DaimaMbeleNyumaMwiko
 
Hawa rivers united wahuni kabisa, yaani siwapendi! Yaani Uto anapata ukubwa tu jamaa wamekuja hapa kwa wakwe wametoa bikra na kigoli kimoja.

Uto kajitapa anaenda kupindua meza meza kule lakini wahuni wamempiga kimoja tena!

sasa hivi kwenye ligi kuu itakuwa mterezo tu maana wahuni rivers united na zesco wameshapanua njia.

Sasa wasubiri simba, biashara na azam wahangaike wamtafutie nafasi mwakani maana kukaa nyumbani na watoto na uzee ule ni aibu!
 
Na kwa Kumuongezea tu mwambie kuanzia Kesho hadi Jumatano huenda Yanga SC ikaachana rasmi na Kocha wake Nabi na kuelekea Mechi na Simba SC Ngao ya Hisani Timu akapewa Mwinyi Zahera na akasaidiwa na ama Said Maulid SMG au Muokoa Jahazi Mkuu Juma Mwambusi...
Tawire Murungu😜
 
Hiyo ndiyo simba bila chama na Luis
Na Bado mtaweweseka sana....
Sie tumekubali tumetolewa na uzuri hali yetu nyie pia mwaijua
Timu bado haijakaa pamoja na muda umekua finyu mno...+ ..wachezaji wetu kuzuiwa ushiriki
 
Habari nzuri ni habari za Simba kwa sasa.
Sasa waandishi wazungumze nini kuhusu Yanga ?
Yanga hawana habari ya maana kwa sasa.
Mazembe ndio timu peke Afrika iliyocheza fainali ya club bingwa za Dunia.
Simba ndio timu pekee Afrika mashariki inayo fikia hatua ya Makundi Afrika.

Sasa Yanga kuna nini hadi Waandishi wa habari waizungumzie ?

Hata ningekuwa mimi nisinge ijadili Yanga kabisa.
Kwa lipi la maana ?
 
Sports Arena ( Wasafi FM ) Saa 2 na Nusu hadi Saa 5 Kamili Asubuhi

Saa 2 na Nusu mpaka Saa 4 na dakika 55 Watangazaji na Wachambuzi watazungumzia Kufungwa kwa Simba SC na TP Mazembe Goli 1 kwa 0 katika Simba Day leo...
Na huko ndiko alikowekeza huyu mkwepa kodi mwandamizi wa nchi hii, uwanjani haoni umuhimu.
 
Naona Makolo mnaparulana hatari. Mnachekesha Sana sometime. Hilo jamaa ropokaji Sana na kichochezi hatari nadhani Ni masalia ya interahamwe
Kweli Yanga mnajidharau hivi ...kujadili kufungwa kwa Simba ,ili Hali Timu yenu imetolewa Klabu Bingwa kwa aibu...na timu yabkawaida kabisa?!
Msipokuwa makini Manara atawafanya muwe wafuatiliaji wa Simba badala ya kuhangauka na Timu yenu!
 
Back
Top Bottom