Hivi ndevu huota baada ya muda gani?

mkuu kuna vijamaa vilikuwa chini kabisa ya age yangu by that time nikiwa form 2. vyenyewe vina vindevu lakini mimi wapi!

Mimi mdogo wangu aliyeingia form 1 nikiwa form 4 anazo mimi sina ila heshima ipo maana the way nina-act ni tofauti sana na yeye. Usijali ila utu uzima wako ujidhihirishe kwa kila kitu hata maongexi yako
 
ahsante mkuu kwa ushauri!
 
Umenikumbusha mwanangu mmoja nilisoma naye A-level ila sasa ni marehemu, yeye kiumri alikua katuzidi ila hakuwa na ndevu hicho kitu kilikua kinamuumiza sana Kila asubuhi anaangalia kama zimeota anakuta wapi hadi akakubali matokeo that haji kupata ndevu. Nadhani hii kitu ni genetic issue ila sio ishu ya maana sana kumsumbua mtu kichwa, nawajua watu kadhaa wachaga hawana ndevu na ni watu wazima na familia zao.

Ushaona mmasai na ndevu?
 
Hayo ni mambo ya genes. Kuna watu wana midevu uso mzima mpaka kwenye shingo, wengine zipo kidogo tu kidevuni na wengine hawana kabisa. Ni mambo ya kurithi. Sidhani kama kutokuwa na ndevu kunampunguzia mtu chochote.
 
ahsante mkuu!!

umeongea vyema sana!
 
Umenikumbusha mwanangu mmoja nilisoma naye A-level ila sasa ni marehemu, yeye kiumri alikua katuzidi ila hakuwa na ndevu hicho kitu kilikua kinamuumiza sana Kila asubuhi anaangalia kama zimeota anakuta wapi hadi akakubali matokeo that haji kupata ndevu. Nadhani hii kitu ni genetic issue ila sio ishu ya maana sana kumsumbua mtu kichwa, nawajua watu kadhaa wachaga hawana ndevu na ni watu wazima na familia zao.

Ushaona mmasai na ndevu?

mmhh! hawa watu nilishaishi nao kwenye lodge moja hivi serengeti kwa mwaka mzima lakini sina kumbukumbu kama nilishawahi waona na ndevu!

vipi mkuu, wanatumia uchawi gani kuzipoteza?
 
sina!

ila sharubu si ni sehemu ya muendelezo wa ndevu? au mi ndo sielewi!

Unaweza kupata sharubu ndevu usiwe nazo. At least yatakutoa. Kama huna basi pole, ila ndevu nazo si za maana sana zina matatizo yake kuzitunza au kuzinyoa kila kukicha.
 
Ahaa mbonaa hazina shidaa izoo ungekuaa nazo mbonaa unaona mpakaa keroo wala usi wazee sanaa?
 
Nikupe number ya wayne rooney? Na yeye alikua na tatizo kama lako ila yeye ilikua nywele hazioti
 
kama ndevu azija ota bas ata nywele za kifuani na tumboni azijaota kwa ili ndev ziote lzm kifua na tumboni kuote vuzi
 
Mkuu pole sana manake hapo umeme ukikatka afu mpo kwenye giza nene dume likipapasa shavu zako pakavu lazma akushke mkono kisha voko bcoz atawaza yesss! Nyama hii!!
 
Back
Top Bottom