comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 6,497
- 11,621
Nauliza tuu sio kwa ubaya.
Na kama lipo linalinda nini??
Na kama lipo linalinda nini??
Hapana limeshakufaNauliza tuu sio kwa ubaya.
Na kama lipo linalinda nini??
Kumbe ndio hivyo mimi sielewi kituHapana limeshakufa
AiseeWanamlinda bi MKUBWA👇View attachment 3494684
Police state...Wanajeshi wanaogopa kukamatwa na Polisi.Nauliza tuu sio kwa ubaya.
Na kama lipo linalinda nini??
100 others atakupa jibuNa kama lipo linalinda nini??
Kucheza karata au bao?Nini kazi ya Jeshi ?
Kama ndivyo unajuaje kama sasa hivi hawachezi ? In short nadhani wanafanya kazi yao sababu mipaka sijasikia kama tumevamiwa; na kama ni internally tuna other institutions tulizojiwekea (kama hazifanyi kazi yake ipasavyo tusitake na taasisi nyingine ikengeuke kufanya kazi yake)Kucheza karata au bao?
Hatari sanaPolice state...Wanajeshi wanaogopa kukamatwa na Polisi.
Lipo, linalinda WALANCHINauliza tuu sio kwa ubaya.
Na kama lipo linalinda nini??
Nimeuliza swali mkuuKama ndivyo unajuaje kama sasa hivi hawachezi ? In short nadhani wanafanya kazi yao sababu mipaka sijasikia kama tumevamiwa; na kama ni internally tuna other institutions tulizojiwekea (kama hazifanyi kazi yake ipasavyo tusitake na taasisi nyingine ikengeuke kufanya kazi yake)
jeshi lipo na lina vikosi 28 kamandi 134 tanzania nzima na jumla ya wanajeshi 36,890Nauliza tuu sio kwa ubaya.
Na kama lipo linalinda nini??
The military's primary role in a country is to defend its sovereignty and interests against external threats, often through organized armed forces. Additionally, militaries may assist in internal security, emergency services, and support national policies and interests.Nimeuliza swali mkuu
Hapa naomba ufafanuziijeshi lipo na lina vikosi 28 kamandi 134 tanzania nzima na jumla ya wanajeshi 36,890