Hivi nani alikuwa producer wa ngoma za Ray c?

Dah jasusi umenikumbusha hizi nyimbo wacha nizitafute .

Nilikuwa nampenda sana huyo dada kama angetokea kunijua nahisi ningemuoa kabisa ila ndiyo vile hakupata bahati ya kunijua mimi
Huyu mrembo nyimbo zake nazipenda maana kipindi nakua ndizo nlizokuwa nazisikia redion na kwenye kanda za kaseti... Huwa zinanipa Good old memories
 
Alan Mapigo kafanya nyimbo nyingi , zingine Miika Mwamba
Dah ๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“Œ๐Ÿ”จ asante mdau.. umemtaja huyu prodyuza alan mapigo nikakumbuka kazi njema tena ya Q chila nimesahau jina anayosema angekua na mabawa angeruka kama ndege
 
Moja ya biti kali iliyowahi kunyongwa kuendana na Ray C

iNSTRUMENTAL - Umeniacha

Your browser is not able to display this video.
 
Rehema chalamila RAY C unga ulimmaliza aisee ana ngoma nyng tu kama MAPENZI YANGU, NIMEZAMA remix na og..
Na hili ni tatizo la dunia nzima la unga kupoteza vipaji adimu sana .... Hata chid benz kile kichwa nakielewa sema ndio hivyo unga ni hatari sana
 
Na hili ni tatizo la dunia nzima la unga kupoteza vipaji adimu sana .... Hata chid benz kile kichwa nakielewa sema ndio hivyo unga ni hatari sana
Wasanii mara nyingi huishi na kufanya kazi katika mazingira yanayohusisha mwingiliano wa karibu na watu wanaotumia dawa za kulevya na wauzaji. Kutokana na mazingira hayo, baadhi yao hujikuta wakijaribu matumizi ya dawa hizo si kwa nia ya uraibu bali kwa udadisi wa kutaka kufahamu raha zake au kukubalika na wenzao wanaotumia, Mwisho hujikuta wamenasa kwenye mtego wa uraibu na ni ngumu sana kutoka, wanaanza kuuza magari na nyumba, Kadri fedha zinavyopungua huingia katika hali ya utegemezi wa mikopo na kuwa waombaji wa kila siku, Hatimaye kutokana na uchovu, msongo wa mawazo, na changamoto za maisha ya kila siku, baadhi yao huanza kuonekana wazi mitaani wakiwa wameshuka kimaisha.
 
Hakika.. industry yoyote inayohusu burudani kuanzia mziki ,filamu na fashions kuna watu wenye tabia odds sana .. kama homosexuals ,watumiaji wa madawa ya kulevya,wasiokuwa na maadili n.k. huko sasa ukijiingiza kama ulikuwa innocent unatoka na tabia nyingine ambazo ni hatarishi sana.. hiki kitu nakiona sana kwenye hizi industry na sijui kwanin hazina uangalizi wa karibu
 
Anaishi nje ila mara moja au mbili nishakutana naye mikocheni mtaa fulani anakoishi sijui ni dada yake sijui mdogo wake .
Ila kaka lile jicho lake kama akinitizama vizuri leo ,namuhakikishia kukopa tena benki ili afurahi na moyo wake
Kaka Kwa hizi comment bila shaka hapo upo unakunywa maji ya dhahabu

๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ