hivi nani aliewatia maji Chadema, waislam?au wananchi?au hekima za viongozi wao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi nani aliewatia maji Chadema, waislam?au wananchi?au hekima za viongozi wao

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by muhogomchungu, Mar 30, 2011.

 1. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  baada ya kasi ya maandamano kushika kasi ghafla tulisikia kauli kila upande.

  waislam wamesema, wakiandamana na sisi tutaandamana wakati huo huo.hili ni tishio kubwa kisiasa na kijamii. hizi kauli zinaweza ikawa labda ndio chanzo
  gov, ni maandamano ya uchochezi. lkn hawa hawana nguvu kwani tulisikia majibizano ya kisiasa ndani ya vyama vya siasa
  wananchi, aachie Jk atutumikie.baadhi ya wananchi wanawapinga wenzao , inawezekana pia nguvu yao ni ndogo kuzuia
  Na hadi leo maandamano yamesitishwa, kwa mfano kigma yalikuwa yafanyike . Iringa na mikoa mengine yamesitishwa.
  dar ambayo ilikuwa market target napo zii.
  jee waliosababisha haya ni waislam? gov
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  tafakari!
   
Loading...