Brainy Chick
Member
- Mar 9, 2013
- 64
- 21
Alivua gwanda akavaa gamba tena juzi kati.
Mie naithamini yako...
Tatizo yeye sio Mrembo by Nature
...Tembelea Karatu Jack pub....
Tatizo yeye sio Mrembo by Nature
Anatumia mkorogo eeehh?
ndiko anapofanya kazi au...?
Ndo anakofanyia "siasa" zake...!??
...mkuu ni migration ya nyumbu....siku hizi...
oh... nimekupata katika mambo yetu Yale ya utalii ...
Hapo bar huwa anashinda na mteja akija yeye humfata na kumuimbia baadhi ya mistari na kuomba anunuliwe viroba jogoo.ndiko anapofanya kazi au...?