Hivi Mwingi unapigiwa Wapi?

Hivi Mwingi unapigiwa Wapi?

Mwingi unapigwa sanaa tu ila ni Nje ya uwanja ambapo hauna manufaa yoyote kwa mashabiki.
 
Mgao hautakaa uishe na hujawahi kuisha mpaka hapo mtakapolipa Kodi ya kutosha.
Unadhani kazi ya Wizara husika ni kuuza Sura.., Unaongelea Kodi - Kodi ndio inatengeneza Megawatts ? Kwamba ukilipa Kodi mvua zintanyesha au wataacha kutokuwajibika (Sababu Kodi tulishalipa ndio maana hio miundombinu iliyopo sasa hivi Ipo (Au unadhani Tanesco wana Mashine ya Token yaani ukiweja Shilingi Umeme unatokea)?
Makamba alishawaambia bila til.4 huko Tanesco hakuna siku mgao utaishia
Ili zifanye nini ? kwahio alivyoingia yeye ndio matatizo yakaanza ? Ni jambo moja kutokuwajibika na kuwa wazembe; ila kuleta majibu yasiyo na tija; That is Insulting our Intelligence....
 
Unadhani kazi ya Wizara husika ni kuuza Sura.., Unaongelea Kodi - Kodi ndio inatengeneza Megawatts ? Kwamba ukilipa Kodi mvua zintanyesha au wataacha kutokuwajibika (Sababu Kodi tulishalipa ndio maana hio miundombinu iliyopo sasa hivi Ipo (Au unadhani Tanesco wana Mashine ya Token yaani ukiweja Shilingi Umeme unatokea)?

Ili zifanye nini ? kwahio alivyoingia yeye ndio matatizo yakaanza ? Ni jambo moja kutokuwajibika na kuwa wazembe; ila kuleta majibu yasiyo na tija; That is Insulting our Intelligence....
Kama mvua ndio inaleta umeme kakinge maji uwashe kwako shida Iko wapi?
 
Mwingi unapigwa sanaa tu ila ni Nje ya uwanja ambapo hauna manufaa yoyote kwa mashabiki.
Naam nadhani hilo ni jibu yeye na walamba Asali they are having it good...
 
Kila mtu na tafsiri yake...unaweza kupiga mwingi lakin usishinde...si unaikumbuka arsenal ya wenger?..kupiga mwing hapa ni matumizi makubwa sio matokeo
Huo sio Mwingi Mkuu; Wenger unaweza kusema mpira ni Burudani kwahio hata ambavyo hawakuchukua Kombe lakini waliburudisha..., By the way Kipindi cha Wenger wangapi walichukua Kombe ? Huwezi ukasema Wenger Hakushinda....

Wenger has managed a record 828 Premier League matches, including 476 wins and 199 draws. He was voted manager of the season in 1998, 2002 and 2004. In total, Wenger won 17 trophies during his time with the Gunners - three Premier Leagues, seven FA Cups and seven Community Shields.
 
Kama mvua ndio inaleta umeme kakinge maji uwashe kwako shida Iko wapi?
Unaonyesha vipi upeo wako ulivyo sawa na urefu wa pua yako...; Kwahio unataka kila mtu azalisha umeme wake ? Hio ni Efficiency ?

Nini kazi ya Shirika la Usambazaji ? Na Unaona kwa mwananchi kutoa Kodi zake na Matozo sio kutimiza wajibu wake ambao inabidi apatiwe Nishati ili aendelee kuwa na uwezo wa kutoa hizo Tozo ?

Au ndugu yangu unadhani hawa walamba asali wapo pale kuuza Sura na kila wanachofanya wakiamua kufanya ni Hisani ?

Unaongelea Pesa Makamba alivuta Pesa kiasi gani eti anaisuka Tanesco Upya?
 
Back
Top Bottom