Hivi mwanaume unakosaje gari jamani?

Katika vitu nisivoviwazia kuvifanya maishani mwangu ni kuwa na Gari..

sioni ule uhitaji wa gari saana kwa upande wangu, ntabanana mwendokasini mpaka basi, siwezi kuacha kufanya mambo ya msingi nikanunue gari, yani halina kipaumbele kabisa kwangu.
Utakuwa maskini mpaka unakufa kama una mawazo ya kifukara kiasi hicho. Sasa hivi gari sio anasa ni hitaji la msingi la binadamu kamili wa kiume
 
Mwenyewe nina langu Toyota Voltz unijie wanguwangu huna usafiri nakutimua upumbavu sitaki.
 
Kwanza utumiaji wa magari ni chanzo kikubwa cha uchafuzi wa hewa katika miji mingi..ndiomana hamuishi kuugua asma.. wenzetu nchi za scandinavia pamoja na utajiri wao wamepunguza matumizi ya magari wanatumia baisker na usafiri wa umma kama tren za umeme..halafu wewe unaishi kwa mtogore unajifanya unajua matumizi ya magari..kwenda huko..
 
Kweli hiki ni kizaz cha hovyo haijatokea !pumbav sana dume zima unaamka Na umbumbu kama huu? Du aibu bora ungesema huna hata mradi Wa matikiti usaidie hata ajira kwa wengine!usafir ni kitu cha kawaida sana mwenye future hajadiri !
 
Kuna watu wengine huwa wanatafuta kutukanwa tu
 
Uwezo wa mtu
 
Dah huwa napenda siku moja nije kusukuma hata vitz sema mambo ndo hivyo ngoja niendelee tu kupiga manyanga na phonex yangu
Umenikumbusha zamani sana mkuu. Nilikuwa na baiskeli inaitwa ShangSheng....nafikiri unazikumbuka hizi kitu.
 
Yaani ana balaha sana huyu Dr. Lakini kuna ka ukweli ndani yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…