Hivi mwanaume mwenye hela anaweza kuachwa?

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Aug 28, 2020
2,204
2,083
Habari za leo wakuu,

Nimekua nikijiuliza maswali haya leo nikiwa nimetulia nikaona ngoja niwashirikishe na ninyi.

Hivi wakuu mwanaume mwenye hela anaweza akaachwa?

Ni mazingira gani yanaweza kusababisha mwanaume mwenye hela kuachwa.

Na wadada nao sasa huwa mnajiskiaje mnapojaribu kumwacha mwanaume mwenye hela?

Wakuu karibuni sana.
 
Sijajua unazungumzia unazungumzia mwanaume mwenye hela kwa muktadha upi, au ambae KWA mwezi anapata faida ya kiasi gani ndio useme mwanaume huyu anapesa.
 
Mie bange zangu zikinipanda, pamoja na private jet yake na bangalow lake nikamuacha awashirikishe na wanawake wengine kero zake.

Heri niwe pekeyangu kuliko wawili na kero gunia, akuuuu.

Mapenzi yakiisha tuu, nakuacha kama nnavyotoka hospitali baada ya kutibiwa.
Bibi Mahaba.
 
Hahaha sema kweli mkuu, yaani unazikimbia pesa.
Mie bange zangu zikinipanda, pamoja na private jet yake na bangalow lake nikamuacha awashirikishe na wanawake wengine kero zake.

Heri niwe pekeyangu kuliko wawili na kero gunia, akuuuu.

Mapenzi yakiisha tuu, nakuacha kama nnavyotoka hospitali baada ya kutibiwa.
Bibi Mahaba.
 
Sijajua unazungumzia unazungumzia mwanaume mwenye hela kwa muktadha upi, au ambae KWA mwezi anapata faida ya kiasi gani ndio useme mwanaume huyu anapesa.
Mwenye hela tu, au chukulia mwanamme ni HB, ana pesa, ana skills kibao. Huyo unaweza kumwacha.
 
Mie bange zangu zikinipanda, pamoja na private jet yake na bangalow lake nikamuacha awashirikishe na wanawake wengine kero zake.

Heri niwe pekeyangu kuliko wawili na kero gunia, akuuuu.

Mapenzi yakiisha tuu, nakuacha kama nnavyotoka hospitali baada ya kutibiwa.
Bibi Mahaba.
Ukimuacha, mara moja moja utakua unaenda kama mchepuko ili kupata pocket money
 
Mwenye hela tu, au chukulia mwanamme ni HB, ana pesa, ana skills kibao. Huyo unaweza kumwacha.
Mkuu mimi ni mwanaume.

Unaweza kuwa nahela halafu bahiri utaachwa tu, unaweza usiwe nahela lkn mtoaji(muhongaji) huachwi hapa nazungumzia watu wenye kupata laki 9 au 8 kwa mwezi wanakidhi Mahitaji ya mwanamke KWA 70% hawaachwi, lkn ukiwa HB huna ela unaachwa vizuri tu.

Mwisho wasiku wanawake wanahitaji wanaumee wanye uwezo wakutunza familia nakujali hisia zao. Mengine labda wanashoboka nayo dadaz wa mjini.
 
Habari za leo wakuu,
Nimekua nikijiuliza maswali haya leo nkiwa nimetulia nikaona ngoja niwashirikishe na ninyi.

Hivi wakuu mwanaume mwenye hela anaweza akaachwa?
Ni mazingira gani yanaweza kusababisha mwanaume mwenye hela kuachwa.

Na wadada nao sasa huwa mnajiskiaje mnapojaribu kumwacha mwanaume mwenye hela?

Wakuu karibuni sana.
Anaachwa vizuri tena bila hata taatifa, na simu anazimiwa
 
Back
Top Bottom