Nimezoea kusikia watu wakisema mwanamke ni Tabia nasiyo sura au uzuri wa mwanamke ni tabia na siyo Sura; mbona nikimtambulisha mchumba wangu kwa marafiki zangu waliyo wengi wanamponda eti siyo mzuri wa sura wakati tabia yake ni nzuri? Naombeni jamani semeni ukweli, mnacho angalia kwa mwanamke ni tabia au ni zaidi ya tabia? Na mimi simuachi ngoo! maana nampenda sana. kwangu mimi nimejifunza kitu kimoja mara nyingi wanawake wazuri wa sura wanamatatizo makubwa wanatabia chafu, kauli mbovu yaani ni presha kila siku. Japokua siyo wote na wale wachache wenye tabia nzuri wana gombaniwa sana kuwapata nishida, kwa kua ni wazuri wa sura na tabia ukiwatokea tu wanakuambia nina mchumba wangu.
Kwa nini unampenda uliye naye sasa hivi au uliyekua naye au anayetegemea kua naye?
Kwa ushauri wangu wa bure kimbilia kwenye imani yako kumsaka mchumba wako, ukimpata aliye na hofu Mungu hapo utakua umefika, japo matapeli wapo ila walio wengi ni wazuri.
Remain blessed!