Hivi mwaka huu ajira za serikali zipo kweli??

Hivi mwaka huu ajira za serikali zipo kweli??

Wanasubiri kikifika kipindi cha kampeni tu wawatumie ila mwaka huu watawanyoosha tu kwanza.
 
Nasikitishwa na nyinyi mlioipigia kura CCM halafu mnalalama eti maisha magumu hakuna pa kushika.
 
Nimesikia kua baada ya uhakiki wa vyeti ambao wanafanya NIDA, pia uhakiki wa matumizi ya mshahara inafatia.
Mi nafikiri vijana watafute namna ya kujikomboa kutoka katika situation iliyopi sasa hivi tusipeane mategemeo "hewa"...!!
Zipo mkuu subiri tuhakiki vyeti bandia halafu wakishakimbia wenye vyeti bandia mtakuja kuziba nafasi nyingi tu..
 
Back
Top Bottom