machomanne
JF-Expert Member
- Feb 22, 2017
- 822
- 917
Ivi we we hujui kuwa Biblia ya kiingereza imefasiriwa kutoka Maandiko ya Kigriki? Sasa unaposema Biblia ya king James imefichwa huo ni uongo.Unauhakika kuwa nakala mama ilibaki, Mimi tu siamini,kama toleo hili la 1967,authorized king James version, the new Scofield reference bible, toleo hili la kiingereza limefichwa.