Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?

Unauhakika kuwa nakala mama ilibaki, Mimi tu siamini,kama toleo hili la 1967,authorized king James version, the new Scofield reference bible, toleo hili la kiingereza limefichwa.
Ivi we we hujui kuwa Biblia ya kiingereza imefasiriwa kutoka Maandiko ya Kigriki? Sasa unaposema Biblia ya king James imefichwa huo ni uongo.
 
Sasa hao Wayahudi mbona hawamuabu Yesu na wanamwita mwanaharamu !
Wakiristo na wayahudi wanakutania wapi ?!
Tofauti ya Ukristo na Uyahudi ni juu ya Kristo aka Masiha Mpakwa Mafuta wa Bwana, shina la Daudi.

Wayahudi bado wanamsubiri Kristo aje ili wamfuate wakati Wakristo wanaamini Kristo aliishakuja na jina lake ni YESU. Ndio tofauti kubwa na ya msingi.

Katika Ukristo inaelezwa Kristo Yesu atakapokuja mara ya pili Wayahudi watamkubali na kuwavuta kuwa wake.

Yohana 7:
25 Basi baadhi ya watu wa Yerusalemu wakasema, Je! Huyu siye wanayemtafuta ili wamwue?
26 Na kumbe! Anena waziwazi, wala
hawamwambii neno! Yamkini hao wakuu wanajua hakika ya kuwa huyu ndiye Kristo?
27 Lakini huyu twamjua atokako; bali Kristo atakapokuja hakuna ajuaye atokako.
31 Na watu wengi katika mkutano wakamwamini; wakasema, Atakapokuja Kristo, je! Atafanya ishara nyingi zaidi kuliko hizi alizozifanya huyu?
41 Wengine walisema, Huyu ndiye Kristo.
Wengine wakasema, Je! Kristo atoka Galilaya?
42 Andiko halikusema ya kwamba Kristo atoka katika uzao wa Daudi, na kutoka Bethlehemu, mji ule alioukaa Daudi?
43 Basi kukaingia matengano katika mkutano kwa ajili yake.
47 Basi Mafarisayo wakawajibu, Je! Ninyi nanyi mmedanganyika?
48 Ni nani katika wakuu amwaminiye, au katika Mafarisayo?
49 Lakini makutano hawa wasioifahamu torati wamelaaniwa.
50 Akawaambia Nikodemo, (naye ni yule aliyemwendea zamani, maana ni mmoja wao),
51 Je! Torati yetu humhukumu mtu kabla ya kumsikia kwanza, na kujua atendavyo?
52 Wakajibu, wakamwambia, Je! Wewe nawe umetoka Galilaya! Tafuta, ukaone ya kuwa kutoka Galilaya hakutokea nabii.

Mathayo 28:
Baada ya Sabato, alfajiri mapema siku ile ya Jumapili, Mari amu Magdalena na yule Mariamu mwingine walikwenda kuliangalia kaburi. 2 Ghafla pakatokea tetemeko kubwa la ardhi; kwa sababu Malaika wa Bwana alikuja kutoka mbinguni akalisogeza lile jiwe, akalikalia. 3 Malaika huyo alifanana kama umeme na mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji. 4 Wale walinzi wa kaburi walipomwona walitetemeka kwa hofu, wakawa kama wamekufa.
11 Wakati wale wanawake walipokuwa wanakwenda, baadhi ya wale askari waliokuwa wanalinda kaburi, wakaenda mjini kuwaeleza makuhani wakuu yote yaliyotokea.12 Baada ya kufanya mkutano na wazee na kushauriana, waliwapa wale askari kiasi fulani cha fedha na 13 kuwaambia, “Semeni, ‘Wanafunzi wake walikuja wakamwiba usiku sisi tukiwa tumelala.’ 14 Kama habari hizi zikimfikia gavana, sisi tutamridhisha na hamtapata shida yoyote.” 15 Kwa hiyo wale askari wakazipokea hizo fedha wakafanya kama walivyoagizwa. Na habari hii imeenea kwa Wayahudi mpaka leo.

Zekaria12:
9 Hata itakuwa siku hiyo, ya kwamba nitatafuta kuwaangamiza mataifa yote watakaokuja kupigana na Yerusalemu.
10 Nami nitawamwagia watu wa nyumba ya Daudi, na wenyeji wa Yerusalemu, roho ya neema na kuomba; nao watamtazama yeye ambaye walimchoma; nao watamwombolezea, kama vile mtu amwombolezeavyo mwanawe wa pekee; nao wataona uchungu kwa ajili yake.
 
Nani kachanganyikawa hapa ?
Kumbe hamuamini mungu mmoja, kila mtu na yake !?
Wanamsubiri vipi wakati wao ndo wamemuamba msalabani na bifu yao bado haijaisha !
 
Soma kumbu kumbu la tourat 1:1
Soma Luka 1:1
Kumbukumbu 1:1 "haya ndiyo maneno Musa aloyowaambia waisrael wote ng'ambo ya Yordani barani,katika Araba lililoelekea Sufu,kati ya Parani,na Tofeli,na Labani,na Hazerothi,na Dizahabu".Luka 1:1"Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu".Sasa mbona madai yako siyaoni hapa?Au yapo kwenye biblia gani hayo?Usiongee mambo usiyoyajua hasa masuala ya dini
 
....kwakuwa watu wengi wametia mikono......! (wengi kina nani ? Na Luka nae akaamua atie wake, wakati yeye si wala hakuwahi kuwa mwanafunzi wa Yesu)

Haya ndio maneno aliyowaambia waisraeli wote....!
Waisraeli tuuu.....!
Umeambiwa Biblia iliyopo sio, umeona kabisa hapo ni 'kumbu kumbu la Tourat' yaani mambo waliyo yakumbuka baada ya kuichoma na unaona kabisa muandishi anavyo anza kutoa maelezo yake. Haya ndio maneno Musa aliwaambia......(ni nani huyu anae toa maelezo ?)

Luka nae anasema na yeye ameingia katika mkumbo wa kuandika kama watu weeengi walivyo amua kila mtu nae kuandika Injil yake. Ndo maana kwenye Biblia kuna Injil ya Marko, Mathayo, Yohana na mwenyewe Luka.
Lakini Injil ya Yesu hamnaaa !
Wagalatia vipofu sanaa, mnaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Luka anasema"....khabari ya mambo yaliyotokea kati kati yetu",Hujaona hapo?Unayajua mambo yenyewe ni yapi?Na yanamuhusu nani?.Haya kumbukumbu 1:1,Musa anawakumbusha jinsi alivyopewa sheria na MUNGU mlimani sinai.Musa alipewa sheria(taurat) hata quran inatambua hilo(qur 7:145-145).Sasa unazijua sheria(taura alizopewa Musa?usiibe,usizini,usiue,usimshuhudie jirani yako uongo,waheshimu baba na mama yako,usiabudu sanamu,usiwe na miungu mingine,ikumbuke sabato.Sasa unaposema hii biblia ni mpya,uwe na ushahidi kuwa hakuna mahali panapoonesha Mungu akiwa ameandika hizi sheria(taurat),then toa ushahidi juu kuwa ni wapi tauurati imechomwa.Quran inasema,kila aliyesoma taurat iliyo sahihi,zaburi,na injili,ameziona khabari za Muhammad humo.Sasa ili uthibitishe hoja yako,lete taurat,injili na zaburi zilizo sahihi ili tuzione khabari za Muhammad humo.Kama huna,na unyamaze.Huwezi kutuambia noti hii ni bandia wakati hiyo noti mpya huna,na huijui,na hujawahi kuiona.Yaani Mungu alete kitabu halafu kisionekane!Sasa kwa nini alikileta?Kiliwahusu nani sasa?MUNGU wetu hayuko hivyo,labda mungu wenu.
 
Hilo neno lenyewe la "watu wangu wanaangamia kwa kukosa mahalifa" halipo kwenye qurani.Lipo kwenye biblia ambayo wewe kwa madai yako si sahihi.Sasa unawezaje kukopi maneno toka kwenye kitabu cha MUNGU kisicho sahihi?Kwa taarifa yako,hilo neno alilisema nabii Hosea kuwaambia watu kama wewe ambao hawataki kuamini sheria ya MUNGU(taurati).Mmeibadili sheria ya MUNGU kwa kuanzisha mambo yenu yaliyo tofauti na sheria yake.Mfano;MUNGU amesema uitunze na kuiheshimu siku ya sabato(kutoka 20:8-11),ikiwa ni kumbukumbu ya uumbaji wake(qurani 4:154).Lakini wewe unasema biblia imekosewa,wakati hiyo amri hadi ktk qurani ipo,kwa nini usiifuate?Hiyo ijumaa imetoka wapi katika dini ya MUNGU ikiwa kitabu chako ni cha MUNGU muumba?Ukinipa aya inayosema ijumaa ni siku taktifu ya ibada tu na si vingine leo nitakuwa muislam na jina langu litaitwa Abuuheila(Baba wa mapaka).Kama hakuna hama huko.Ndo nyie mnaoambiwa na nabii Hosea mnaangamia kwa kukosa maarifa.Sio sisi tunaofuata sheria na ushuhuda(Isaya 8:20).
 
Hiyo Luka 1:1, hukuimalizia yote pale Luka anaposema baada ya kuwauliza walio ona na kushuhudi.
Hukuona pia hapo Luka anaposema 'watu wengi wametia mikono yao.
Unasema hapo kuwa Qur'an inasema, Zaburi iliyo sahihi, Tourat iliyo sahihi na Injil iliyo sahihi. Unazo wewe zilizo sahihi !?
Wakati huo huo, ndani ya Bibilia hamna Injil ya Yesu, kuna ya Marko, Luka, Yohana, na Mathayo.
 
Watu wa jumamosi walikufuru wakageuzwa manyani.
Siku ya Ijumaa ina surat nzima ndani ya Qur'an inaitwa surat Juma'ah
Biblia ni kitabu cha uzushi kisicho na mwenyewe.
 
MLETA MADA HAPA KUNA SWALI JUU YA SWALI
UMEULIZA MUSA ALIKUA MWARABU AU MYAHUDI??

PAPO HAPO TENA UKASEMA UISLAM ALIULETA MUHAMMAD

PIA UKAJIJIBU TENA MUSA ALIKUA MUHIBRANIA

Ukiskia kujitekenya nakucheka mwenyewe ndio wewe
HIBRANIA NI LUGHA
labda nikufahamishe kidogo ni lugha ya KIRUMI

WEWE UNASEMA ALIKUA MUHIBRANIA
Hio lugha imetumika saana kwa Manabiii wa Allah
Na nikianza kukuelezea kisa cha Nabii Musa(A.S) kuanzia anazaliwa hadi kutekelezwa na ***** na kuokotwa kwenye maji na mke FARAO(FIR-AUNI) naimani ntajaza Page nyingi saaaana
JAWABU LAKO KASOME VIZUUUUUURII NA KWAMAKIIIINI SAAANA BIBLIA JIBU UTALIPATA
 
Musa alikuwa Muisraeli tena wa uzao wa Lawi ambao ndiyo waliokuwa makuhani katika hekalu la maturubai . Uislamu umeanza miaka mia sita baada ya Ukristo kuanzia pale Antiokia. Wakati wa Musa, Uislamu haukuwepo, ila waarabu (wamidiani) walikuwepo na walikuwa wakiabudu miungu.

Na SAYUNI mbona hujaitaja
 
Michangi imetolewa ila swali lako hukulijenga vizuri, maana ni sawa na ww uulizwe kuwa ni msukuma au mkristo
 
Mussa alikuwa Muisrael. Anatokana na uzao wa Yakobo. Yakobo na wanae walipohamia Misri kukimbia njaa Kanaan.
Na kwa nini safari y'a kuwarudisha wana wa Israël kwao ilichukua Miaka 40 wakati Misri n'a Kaanan umbali ni Km 600 tu ?
 
Hiyo Luka 1:1, hukuimalizia yote pale Luka anaposema baada ya kuwauliza walio ona na kushuhudi.
Hukuona pia hapo Luka anaposema 'watu wengi wametia mikono yao.
Unasema hapo kuwa Qur'an inasema, Zaburi iliyo sahihi, Tourat iliyo sahihi na Injil iliyo sahihi. Unazo wewe zilizo sahihi !?
Wakati huo huo, ndani ya Bibilia hamna Injil ya Yesu, kuna ya Marko, Luka, Yohana, na Mathayo.
Walioshuhudia na kuona ni wakina petro.Maana wao ndio walioona,na Luka yeye hakwepo.Kwa hiyo aliyapata kwa kina Petro.Soma 1Petro 1:1.Mimi nimekwambia itoe hiyo torat,injili na zaburi zilizo sahihi kama hizi zimeharibiwa.Huwezi kujua kitabu hiki kimeharibiwa wakati kile unachodai hakijaharibiwa hukijui!Haya hebu lete aya hata moja tu iliyoharibiwa,ambayo kabla ya kuharibiwa haikuwa inasema kama ilivyo sasa ili nikuamini.Kama huna,huna uhalali wa kubwabwanya.
 
Wakizileta hizo zaburi ,torat na injili sahihi, ni tag nizione
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom