The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,080
Mkuu achana na vocha kabisawe mshikaji mlpare nini
buku na unauliza amempigia nani
Mkuu achana na vocha kabisawe mshikaji mlpare nini
buku na unauliza amempigia nani
husninyo wewe ni wa level iyo ya 2? ahahaaa
Kwani wewe hautaki kuhongwa, nikuhonge vocha ila mimi huwa haizidi 1000nakutumia soon, ngoja nitume mtu. Halafu kuna kitu kusaidiana, yaani mwanaume kumsaidia mtoto wa kike anajitapa amehonga! Khaa!
Mkuu achana na vocha kabisa
Tatizo ni pale Wabeijing wanapolalamikia haki sawa, ndo maana
na sisi tumeanza kulalamika vinginevyo futeni kauli mwanaume
abaki na cheo chake na ile misemo ya ajabu kama mfume dume ife...
Ha ha ha haa leo umenichekesha kweli! Duh yaani nikae tu
tunahongana kilevel level........
mambo mengine kishkaji bwana, leo umemtoa mtu kesho anakutoa yeye. We unafikiri sisi hatuwatoi vivocha na vilunch? Mbona hatuji kulalamika jf?
Kwani wewe hautaki kuhongwa, nikuhonge vocha ila mimi huwa haizidi 1000
Tatizo wengine mpaka wanakufa wapo kwenye level hiyo hiyo usemi
wako unaweza kuwanyima baadhi ya watu haki fulani!
sipendi kuhongwa vijisenti. Hahahaha!
Tunabana matumizi lolmkuu inawezekana simu yako huwa unaweka mia tano tano au imezidi sana buku mbili na unampunguzia mchumba buku so ni mwendo wa extreme na zile sms 200 za airtel
Husninyo naomba ofa ya lunch siku moja dear ila iwe movenpick au holday in
sitaki mambo ya kunipeleka hongera bar sijui wapi
Duh wewe uko matawi ya juu sikuwezi
Ahsante, angalau umenipa moyo maana jamaaUna mkosi wa kukutana na viruka njia. wanawake wenye hashima zetu tunapiga bwana. Ukiona huyo ujue hakutaki anakubore ili umwache. Fanya maamuzi mapema!
mi simu yangu inahamisha minimum balance anzia 100,000Nipunguzie vocha ya 250 kwenye simu yangu
Tunabana matumizi lol