Hivi munampigia nani?

kama upo hiyo level ya mwisho bora usihonge hadi uingie next level.
Tatizo wengine mpaka wanakufa wapo kwenye level hiyo hiyo usemi
wako unaweza kuwanyima baadhi ya watu haki fulani!
 
Tatizo ni pale Wabeijing wanapolalamikia haki sawa, ndo maana
na sisi tumeanza kulalamika vinginevyo futeni kauli mwanaume
abaki na cheo chake na ile misemo ya ajabu kama mfume dume ife...

mambo mengine kishkaji bwana, leo umemtoa mtu kesho anakutoa yeye. We unafikiri sisi hatuwatoi vivocha na vilunch? Mbona hatuji kulalamika jf?
 
mambo mengine kishkaji bwana, leo umemtoa mtu kesho anakutoa yeye. We unafikiri sisi hatuwatoi vivocha na vilunch? Mbona hatuji kulalamika jf?

Husninyo naomba ofa ya lunch siku moja dear ila iwe movenpick au holday in
sitaki mambo ya kunipeleka hongera bar sijui wapi
 
Husninyo naomba ofa ya lunch siku moja dear ila iwe movenpick au holday in
sitaki mambo ya kunipeleka hongera bar sijui wapi

heee! Unachagua hadi pa kwenda! Lol, nitakuhonga hadi pale uwezo wangu utaishia. Uje na mama rocky.
 
Kutoa ni moyo,wala usipime fadhila,Ukimpa mwenzio kile unchodhani ni sahihi usitegemee fadhila, chakununua lazima upate bidhaa yake. Upendo ni zaidi ya vile unavyofikilia.
 
Kutoa ni moyo,wala usipime fadhila,Ukimpa mwenzio kile unchodhani ni sahihi usitegemee fadhila, chakununua  lazima upate bidhaa yake. Upendo ni zaidi ya vile unavyofikilia.
 
Una mkosi wa kukutana na viruka njia. wanawake wenye hashima zetu tunapiga bwana. Ukiona huyo ujue hakutaki anakubore ili umwache. Fanya maamuzi mapema!
Ahsante, angalau umenipa moyo maana jamaa
walivyonishupalia kuwa ni bahili........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom