Hivi munampigia nani?

Kuna watu muanaalikwa kwenye semina Elekezi kwa
hiyo hamuwezi kuona tatizo hapo!

hahahahah mkuu sawa kabisa
Maana kama unajaziwa vocha na ofisi na ukienda kikao kimoja tuu una laki
na malazi ni hotel ya five star huku ukiwa kwenye liV8 na kiyoyozi juu huoni mambo ni mswano hapo
 
Imekuwa ni kawaida kwa wanawake wengi kuomba salio
kwa wapenzi wao, ajabu ni kwamba huwa hampigi simu
bali mmezoea kubeep, tena hata ukitumiwa salio bado utabeep
Asubuhi tu umetuma 5,000 Jioni anakubeep, bado sijaelewa hapa!
Hivi ninyi ni nani hasa huwa mnapenda kumpigia?
Unanikumbusha X BF wangu, nilikuwa nabeep ye anapiga tu hatumi vocha kama nataka kuongea
na mtu na vocha sina alikuwa ananiunganisha kupitia simu yake kwa hiyo yeyote nitakayeongea
naye yeye alikuwa anasikia ingawa alikuwa hachangii kitu. Tumeachana lakini tatizo ni jingine na sio hilo
la simu. Vipi unapenda hiyo staili?
 
Huyo sasa alizidi
Sasa hata kama ulikuwa unataka kumwambia shoga yako siri yeye anasikia
Ahhh mambo mengine nayo yamezidi
 
Ha ha haaa angalau wewe umejibu kidogo kama inakuja kuja vile,
Wenzio wameshutumu tu hapa mpaka nakumbuka kisa cha mtoto
aliyeiba sukari anaulizwa kaka yuko wapi anasema sikulamba sukari!

Halafu na wewe uache kulalamika, yani buku 2000 ndo unalialia hivyo. Wenzako tunasemaga hivi, nina shida ya laki mbili mpenzi, naweza kupata leo jioni? Hapo ni saa nane mchana.........ha ha ha unauilizwa za nini nataka nijze gri mafuta kabisa manake.....................................hapo humalizii hiyo manake wala nini..............

Ulikuwa unahitaji jioni ya saa ngapi sasa, kama saa 11 hivi.....ha ha ha, halafu n ile nguo yangu kwa fundi aliniambia nipitie leo, ilibaki elfu hamsini. Yani hapa nilipo hata senti tano sina ungeniongezea na elfu hamsini ingenifikisha Ijumaa..................hapo ni jumatano hiyooooooooo

Saa kumi na moja mzee unakiona kibaba kinatokea, kinafungua wallet kinakukabidhi laki 2, hapo hakuna kuulizwa yani mafuta ya laki? Noo Hakuna maswali.......ACHA KULIA
 
natamani kujua ni mazingira yapi unahonga.

Nyumba ndogo yoyote na kidumu au kindoo kule nahonga maana sipaswi kufanya hayo
Ila kwa wife ni wajibu na ni lazima nitoe hilo halina mjadala
Pia kwa yule friend ambaye sio kidumu wala kindoo wala nyumba ndogo bado nahonga nikitegemea fadhila siku moja
 
Halafu na wewe uache kulalamika, yani buku 2000 ndo unalialia hivyo. Wenzako tunasemaga hivi, nina shida ya laki mbili mpenzi, naweza kupata leo jioni? Hapo ni saa nane mchana.........ha ha ha unauilizwa za nini nataka nijze gri mafuta kabisa manake.....................................hapo humalizii hiyo manake wala nini..............

Ulikuwa unahitaji jioni ya saa ngapi sasa, kama saa 11 hivi.....ha ha ha, halafu n ile nguo yangu kwa fundi aliniambia nipitie leo, ilibaki elfu hamsini. Yani hapa nilipo hata senti tano sina ungeniongezea na elfu hamsini ingenifikisha Ijumaa..................hapo ni jumatano hiyooooooooo

Saa kumi na moja mzee unakiona kibaba kinatokea, kinafungua wallet kinakukabidhi laki 2, hapo hakuna kuulizwa yani mafuta ya laki? Noo Hakuna maswali.......ACHA KULIA

Aise kweli wanaume tuna shida
Kuzaliwa mwanaume ni balaa
Mengine tunavumilia tuu maana huyo hapo anatoa laki mbili ila yeye mguuni yuko radhi avae sox zimetoboka ili mpenzi afurahi
Ukiangalia mara ya mwisho alinunua boxer lini unaambiwa ni mwaka umeisha ila mpenzi kila siku anabadilisha viwalo na perfume mpya na kiatu kipya
 
Unanikumbusha X BF wangu, nilikuwa nabeep ye anapiga tu hatumi vocha kama nataka kuongea
na mtu na vocha sina alikuwa ananiunganisha kupitia simu yake kwa hiyo yeyote nitakayeongea
naye yeye alikuwa anasikia ingawa alikuwa hachangii kitu. Tumeachana lakini tatizo ni jingine na sio hilo
la simu. Vipi unapenda hiyo staili?
Duh natamani kusema nimeipenda hiyo staili lakini
nawaogopa wakuu hapa kama wamenisifia ubahili
sasa watanisifia wivu tena hawatasema wivu tu watasema
wivu wa kijinga wivu wa kipumbavu!
 
Umenena
Huo sio wivu tuu ila wa ajabu sana
Unasikiliz amaongezi ya mpenzi wako
Ahhh mwekee vocha mwache aongee na mashoga zake na vidumu vyake pia
Maana ukimchunga sana kuna siku atakuletea wazi
 
Halafu na wewe uache kulalamika, yani buku 2000 ndo unalialia hivyo. Wenzako tunasemaga hivi, nina shida ya laki mbili mpenzi, naweza kupata leo jioni? Hapo ni saa nane mchana.........ha ha ha unauilizwa za nini nataka nijze gri mafuta kabisa manake.....................................hapo humalizii hiyo manake wala nini..............

Ulikuwa unahitaji jioni ya saa ngapi sasa, kama saa 11 hivi.....ha ha ha, halafu n ile nguo yangu kwa fundi aliniambia nipitie leo, ilibaki elfu hamsini. Yani hapa nilipo hata senti tano sina ungeniongezea na elfu hamsini ingenifikisha Ijumaa..................hapo ni jumatano hiyooooooooo

Saa kumi na moja mzee unakiona kibaba kinatokea, kinafungua wallet kinakukabidhi laki 2, hapo hakuna kuulizwa yani mafuta ya laki? Noo Hakuna maswali.......ACHA KULIA
Hili halishangazi sana si uko na yule jamaa wa MAJENGO PACHA, Au
Yule wa Nishati na madini...... au yule wa...... Lazima nilalamike bana
iwapo nimeuza shahada yangu ya kura kwa 10,000 nitashindwa vipi
kulalamika?
 
Umeuza shahada na mgombea wako kashindwa
Ila mkuu kweli wewe ni bakhili
Utakuwa umetokea kwa watani zangu hapo mlimani hapo
 
Kakak muulize vizuri huyo unayemwekea mana me na mume wangu tushazoea kuwekeana na hatuchunguzi umetumiaje.
me naona kama umeamua kumpa mpe ila sio vvizuri unampa halafu unamsimanga humu kwenye JF
 
Tatizo inapokuwa kila siku ndo inauzi tena hata akikubeep
hataki sana kuongea isipokuwa ni hiyo vocha na matatizo
yake mengine akimaliza hayo no story hata kama uliyepiga
ni wewe na kama utaendeleza maongezi utajibiwa majibu ya
shortcut mpaka unachukia!
 
Ha ha haa haaa Tofautisha ubahili na uwezo.

Mkuu unafight kwa ajili ya yule umpendae na aridhike na awe na uhakika kuwa nina mtu anayenipenda
Ananijali na kuniona na mimi ni mtu katika watu
Sidhani kama ungependa mpenzio au mchumbako awe kila siku yeye ni wa kubeep simu za wenzake
Maana watasema mchumba wa Gazeti mbahili yeye hawezi kupiga simu hata siku moja kila siku anabeep tuu
 
Hapa kidogo nimeridhika lakini tatizo hata umpe ngapi ye nikubeep tu,
tena hata ukimuwekea hakukumbuki mpaka salio lielekee ukingoni na
ukiongea nae haonyeshi kupenda sana kuendelea na mazungumzo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom