Hivi Mumeo/Mkeo ni ndugu au rafiki?

Hivi Mumeo/Mkeo ni ndugu au rafiki?

Ni best friend wako hapo nimeongea kidhungu kuonesha msisitizo
 
Mke wangu ni zaidi vyote, nikimtazama sana najiona mimi mwenyewe, kifupi mke ni kioo changu.
 
Wala sio ndugu. Angekuwa ndugu ungeoa au kuolewa nae. Huyo ni Mke au Mume tu nyongeza ni rafiki
 
Ni rafiki na mke lakini si ndugu labda kama ni zile ndoa za kiarabu ambazo mtoto wa Baba Mkubwa anamuoa/anaolewa na mtoto wa baba mdogo, shangazi etc ndiyo kutakuwepo na undugu.

Habari wanajamvi,

Nimekuwa najiuliza mara nyingi hivi Mumeo au Mkeo ni ndugu yako au ni rafiki yako.

Nombeni mnijuze tafadhali..
 
wanawake wa dot com ni bora umwite rafiki tu..m


maana mambo yakienda vibaya tu anakukimbia
 
Mke kwangu anaplay part zote kasoro mama tu, ni rafiki yangu tena best haswa, wakat mwingine ni dada yangu, sometimes ni mdogo wangj n vyeo vingine..
 
Mwanamke alitolewa katika ubavu wa kushoto wa mwanamme, kwahiyo mwanamke ni sehemu ya ubavu wa mwanaumme nao wakiona huwa mwili mmoja. Hawa ni zaidi ya ndugu na nizaidi ya rafiki pia.

ila wengi sana
 
Habari wanajamvi,

Nimekuwa najiuliza mara nyingi hivi Mumeo au Mkeo ni ndugu yako au ni rafiki yako.

Nombeni mnijuze tafadhali..
MWILI MMOJA. HAPO HAKUNA JIBU KWENYE STATEMENT YAKO
 
Mimi ni mifupa katika mifupa yake....mimi ni ubavu wake..mimi ni part ya mwili wake...yani mimi ni yeye...mwili mmoja[emoji7][emoji7]
 
Mumeo ni mumeo na mkeo ni mkeo, ndg atabaki kuwa ndg na rafiki atabaki kuwa rafiki.
Huwezi kulala au kufanya mapenzi na nfuguyo hivyo usichanganye mambo
 
Mume si ndugu...
Ni rafiki.
Tena mume wako au mke wako anatakiwa kua best friend wako.
 
Back
Top Bottom