Phenomenon Lady
JF-Expert Member
- Nov 19, 2013
- 407
- 242
Kwamba labda anakusave na stress za kujua kuna wanawake wanamsumbua au anafuta kwasababu na yeye anawaandikia vitu ambavyo hataki uvione(ana mahusiano nao)?
Kwann upekue simu yake. We ni msukuma?..una mavi kweli wewe!!!..mnfyuuuuu
Weka picha
ndo nichangie!

Kwenye kila unachowekeza kuna nafasi ya risk...Kwenye ndoa huwezi jua mwenzi wako hatacheat kwa 100% unamchagua tu mwenye asilimia kubwa ya kutokucheat.
- Kama wewe ni muumini wa positive thinking(which is much less stressful), basi unapaswa kumwamini kwa asilimia 100% mpaka akionesha kutoaminika.(This being said, u need to leave his phone for his use no matter what he does with it u think nothing until it really provides a bigger reason he is cheating).
- Kama ni muumini wa negative/suspective way of thinking. Faida ni kwamba dalili za kucheat utazigundua mapema but are u really married to make sure he doesn't cheat?
Waweza chagua yoyote but whatever u choose, maisha ni mafupi, punguza stress have a drink!!!!
Weka picha
ndo nichangie!