Hivi mume wako akifuta sms anazoandikiwa na wanawake wengine ni kwamba hataki uumie ukisoma au ana m

hakuna kitu kizuri kama kuwa na mawazo positive kwenye ndoa..unaenjoy kwa kweli no stress yani furaha tu hata mtu akicheat anajishtukia mwenyewe.. anaacha mwenyewe..

japo cjaoa ila naipenda sana hii ktk mahusiano
 
hakuna kitu kizuri kama kuwa na mawazo positive kwenye ndoa..unaenjoy kwa kweli no stress yani furaha tu hata mtu akicheat anajishtukia mwenyewe.. anaacha mwenyewe..

Ntajifunza kua positive,,lakini sijiu ntaweza!!!
 
Anakuheshimu ila pepo la kungonoka ndo lamtesa mlete tumuombee huyo
 
Na wenyewe pia ni problem...

Kuoneana wivu kuna raha yake bana...ingawa ukizidi unaleta kero;

Mi nikimwambia hubby leo naenda dinner mahali afu asinihoji ntakosa raha...

Bila wivu ntajuaje ananipenda...

ibebe mpaka huko ndoani,..ni nzuri ila inahitajika uwe na moyo wa kutojali kupitiliza..
 
Kutokuoneana wivu si ukomavu wala nini...ni dalili za kuchokana...zile za umechuja-akutake nani...

Au zile za mwaga mboga namwaga ugali...
 
Am not married but Kila mara nikiwa naenda kuonana na mpenzi wangu lazima nikague simu yangu. That doesn't mean I cheat but Ni kupunguza maswali na suspicions za ajabu ajabu. Cause kuna mabinti kila siku hawaishi kutuma sms za ajabu plus picha zao WhatsApp, hata kama hufanyi lolote nao, lazima atakuwa na hisia mbaya na ndio mwanzo wa kutokuwa na imani na wewe.
 
Na wenyewe pia ni problem...

Kuoneana wivu kuna raha yake bana...ingawa ukizidi unaleta kero;

Mi nikimwambia hubby leo naenda dinner mahali afu asinihoji ntakosa raha...

Bila wivu ntajuaje ananipenda...

Hapo kwenye bold, hilo swala ni tete... naomba nianzishe topic yake separate
 
Back
Top Bottom