Sipendi Uchawa
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 8,106
- 12,895
Ukimblock mtu hawezi ona profile picture yako. Lakini wewe utaendelea kuiona ya kwakeHutaiona Profile Picture Yake Naye Aliyeku~Block Haiona Yako
Wala Ile Last Seen!!
Ukimblock mtu hawezi ona profile picture yako. Lakini wewe utaendelea kuiona ya kwakeHutaiona Profile Picture Yake Naye Aliyeku~Block Haiona Yako
Wala Ile Last Seen!!
Kwan dar ndo kunawajanja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona na ww unataka ku prove kua ndo mshambaKabila gani wewe mbona mshamba mshamba hivyo? Muandiko wa kishamba sana, hebu njoo dar ujanjaruke
hii pia inaweza isiwe solution sababu mfano mimi watu wanaoweza kuona my status zangu na dp ni wale tu ambao nimesave contact zao kwangu....Ni kwamba unakua huioni profile picture na bio yake pia huioni
Uhakika zaidi chukua simu nyingine au Kama una account nyingine ya WhatsApp save hiyo namba uiangalie
Mkuu, hapa JF watu wengi, hawapo kama wewe! Unauliza swali ili ueleweshwe, basi unakutana na majibu ya yasiyohusiana kabisa na shida yako! Wengi wanadharirisha kabisa ile sifa ya JF kuwa ni HOME OF GT!Ni kwamba unakua huioni profile picture na bio yake pia huioni
Uhakika zaidi chukua simu nyingine au Kama una account nyingine ya WhatsApp save hiyo namba uiangalie