Hivi mtu akifariki kwanini asemwe kafariki dunia?

Hivi mtu akifariki kwanini asemwe kafariki dunia?

Hiki kiswahili kinanipa tabu mtu kafariki magomeni badala ya kusema kafariki magomeni mtu unasema kafariki dunia kwani magomeni ndio dunia?
Kisawe chake ni "kuaga dunia"
Amefariki magomeni...Amefia magomeni
 
basi sawa kafariki magomeni ipitishwe rasmi na itumike badala ya neno kafariki dunia
 
Kwani huyo mtu amefia wapi? Magomeni kubwa; kuna Mapipa, Kagera, Usalama n.k
 
Ameiacha dunia

Nd maana tunasema

Amefarik dunia
Kwa kawaida binadamu na anaiacha dunia na si dunia kumuacha binadamu.

Hvyo mtu kufariki dunia ni binaadamu kuiacha dunia na katu haimaanisha muktadha wa alipofia marehemu

Ni kauli ya jumla
 
Ok,Ndugu Robert Mugabe kafariki magomeni akiwa kwenye matibabu nchini singapore.
 
Kwani magomeni sio duniani ?
Akijibu niambie maana anachotaka kusema ndo atakua anagaribu kabisa.... Ukisema mama ameaga nyumbani hapo inajulikana kabisa k una sehemu kaenda na atarudi !!

Sasa tukisema Raisi mstaafu wa marekani G. W bush ameaga Doehon utaelewa nini ?
 
Mwananchi wameandika Rais Robert Mugabe ameaga Rechull.
Rechull ni hosptal aliyokua anatibiwa na ipo mji wa Rechull. Utaelewa nn ?
Amekufa au ameaga kurudi kwake Zimbabwe baada ya matibau ??
Akili za ccm bhana
 
Hiki kiswahili kinanipa tabu mtu kafariki magomeni badala ya kusema kafariki magomeni mtu unasema kafariki dunia kwani magomeni ndio dunia?
Ngoja nikujibu, ukisema mtu kafariki magomeni inamanisha unaweza muona kinondoni, au mwananyamala, lakini ukisema kafariki dunia inamaanisha huwezi muona tena mahali pengne atachimbiwa kaburi tu. Ukielewa niambie
 
Exactly!
 
Kwani watu wanavyosemaga Mungu si Athumani inamaana huyu Athumani alifanyaga nini?
 
Back
Top Bottom