comrade, ndiyo maana wapinzani wametu brand sisi CCM kama "vilaza" na "misukule"..Hiki kiswahili kinanipa tabu mtu kafariki magomeni badala ya Kusema kafariki magomeni mtu unasema kafariki dunia kwani magomeni ndio dunia?
Uhai hana tena duniani ila nafsi au roho yake inaenda Binguni
dunia gani hiyo?Magomeni ni mtaa uliopo duniani
Neno kufariki linatokana na neno "faraka".Hiki kiswahili kinanipa tabu mtu kafariki magomeni badala ya Kusema kafariki magomeni mtu unasema kafariki dunia kwani magomeni ndio dunia?
Hii ya Trumpdunia gani hiyo?
Unaweza kukuta mwenzetu unajua Magomeni inapatikana Pluto
Kisawe chake ni "kuaga dunia"Hiki kiswahili kinanipa tabu mtu kafariki magomeni badala ya kusema kafariki magomeni mtu unasema kafariki dunia kwani magomeni ndio dunia?