Hivi mpka sasa Tundu Lissu ana Kesi ngapi za uchochezi na hazijatolewa hukumu? naona kila siku anakamatwa!!!

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Naombeni mnijibu swali langu wakuu, maana naona kila siku anakamatwa kesi mahakamani na haipiti hata wiki mbili anakamatwa tena. hivi hadi sasa ana kesi ngapi za uchochezi ambazo zinasubiri hukumu.
nianze na ile ya dikiteta uchwara
karibuni
 
Back
Top Bottom