Hivi mpaka mtegemee mvua ndio shida za maji ziwe solved?

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
14,138
Reaction score
33,530
Kwa machawa utasikia "mama kafanya" haya mwambieni kuhusu maji.

Hakuna Dar es Salaam wala mikoani ni yale yale tena kanda ya ziwa ndio kabisa yani shida ya maji ni mgao.

Wizara inapitisha bajeti kubwa ila uwezi kuona inafanyia nini zaidi ya kutegemea mvua.

Hivi kama nchi ina vyanzo kila kona na kila ukichimba kuna maji nchi hii kwa wakazi wa Dar wanashindwa kupata maji.

Lingine tuna maziwa ambayo maji yana rudi kule kule.

Tutunze Amani sio chochote.
 
Hawa mawaziiri,mainjinia na wasomi wengine nilikua nawatazama kwa jicho la tofauti sana nilkiona magari wanayotembelea,mishahara wanayolipwa na incentives nyingine.

Nilidhani wana uwezo mkubwa sana kichwani wa kutatua changamoto hasa nyakati kama ngumu,kumbe nao wanakuja na sababu za kawaida tu ambazo hata mtu wa kawaida anaweza kuja nazo.

Yani maana yake mtu yoyote anaweza kuwa waziri tu,kipindi maji yanapatikana unapeta tu hakuna pressure yoyote na kipindi maji yakikauka unasimama mbele na kusema ukosefu wa mvua na maisha yanaendelea tu kama kawaida.
 
Saudia arabia kuna jangwa ila wametatua shida ya maji.

Hapa waziri ana kwambia shida ni mvua.
 
Watanzania waombee Mvua, bajeti iongezwe kwenye kuombea mvua
Screenshot_20251213_074603_X.jpg
 
Hawa mawaziiri,mainjinia na wasomi wengine nilikua nawatazama kwa jicho la tofauti sana nilkiona magari wanayotembelea,mishahara wanayolipwa na incentives nyingine.

Nilidhani wana uwezo mkubwa sana kichwani wa kutatua changamoto hasa nyakati kama ngumu,kumbe nao wanakuja na sababu za kawaida tu ambazo hata mtu wa kawaida anaweza kuja nazo.

Yani maana yake mtu yoyote anaweza kuwa waziri tu,kipindi maji yanapatikana unapeta tu hakuna pressure yoyote na kipindi maji yakikauka unasimama mbele na kusema ukosefu wa mvua na maisha yanaendelea tu kama kawaida.
Hiyo inaitwa Business as usual.

Hawaendi extra mile ,kutatua tatizo la maji kwa TZ ni kitu rahisi sana yaani ni kama kumsukuma mlevi au kusukuma baiskeli ya miti kwenye mtelemko.
 
Mvua inanyesha huko nyanda za juu kusini maji mengi yanapotea tutti nilipita Mbeya mvua inanyesha wiki nzima 800 km tunalalamika tunashindwa kusafirisha maji tunategemea kupata msaada kutoka Nje kweli Watanzania tumedumaa..
 
Hawa mawaziiri,mainjinia na wasomi wengine nilikua nawatazama kwa jicho la tofauti sana nilkiona magari wanayotembelea,mishahara wanayolipwa na incentives nyingine.

Nilidhani wana uwezo mkubwa sana kichwani wa kutatua changamoto hasa nyakati kama ngumu,kumbe nao wanakuja na sababu za kawaida tu ambazo hata mtu wa kawaida anaweza kuja nazo.

Yani maana yake mtu yoyote anaweza kuwa waziri tu,kipindi maji yanapatikana unapeta tu hakuna pressure yoyote na kipindi maji yakikauka unasimama mbele na kusema ukosefu wa mvua na maisha yanaendelea tu kama kawaida.
Umesema kweli kabisa, hii inaonyesha wana taaluma wetu wanakariri kuliko kutenda, maana wananchi wanategemea ufumbuzi wa tatizo sio matamko tu.
 
Tunatumia muda na nguvu kubwa kwenye kusifiana sana katika kutekeleza majukumu ya kawaida hali inayofanya kudumaza akili zetu katika kuweza kufikiria changamoto kubwa na kuzitafutia ufumbuzi.

Sie kutwa utasikia tunasifiana kujengwa madarasa, zahanati, barabara, mara elimu bure n.k na yote sifa anatupiwa Rais.
 
KWA MAZINGIRA YA SASA GEN Z WAKITANGAZA MAANDAMANO HATA KAMA HAWATAFANYA, VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA LAZIMA VIWEKE LOCK -DOWN.

KUWEKA LOCK-DOWN MAANA YAKE NI KUKWAMISHA SHUGHULI NYINGI ZA KIUCHUMI; UTALII UNADORORA ZAIDI, BANDARI KUNASIMAMA, USAFIRI WA ANGANI NA ARDHINI UNADORORA ZAIDI NA MAPATO YA SERIKALI YANAPUNGUA.
 
Back
Top Bottom