[emoji23][emoji23][emoji23]Amka hapo usingizin usije jikojolea.
😁😁Tafuta hela
Kazia zaidi mkuu, napenda sana nyundo za kutukaza.Najua hii story ni Cappuccino.
Kupata mwanamke mwenye pesa ni kuwa sophisticated as fuk, au unaweza sema kuwa na exposure kiasi cha kumuona si chochote zaidi ya yeye kuwa ni mwanamke tu na wanawake wote wapo sawa. Kwamba kitendo tu cha yeye kuwa mwanamke na wewe ni mwanaume basi tayari yupo chini yako. Na kuwa na pesa doesn't mean shit.
Just don't put the bitch on a pedestal.