Yawezekana nimeelewa tofauti na ulivyomaanisha. Ila nimesoma na mwisho nikaona umeuliza maswali matatuUmesoma mada na ukaelewa?
Yawezekana nimeelewa tofauti na ulivyomaanisha. Ila nimesoma na mwisho nikaona umeuliza maswali matatu
1.Sasa kwenye suala la mahusiano watu wamekuwa wakidai kujua kuwa wenza wao wanawapenda,hii inakuwaje?
Unakuwaje na uhakika kwenye hili?
2.Naombeni mniambie huwa mnasema tu au mnakuwa mnajua kabisa kuwa mko sawa?
Au huwa mnaamini tu?
3.Nauliza maana hao hao wanaodai kuwa wanajuwa kuwa wanapendwa huja hapa na malalamiko kedekede kuwa wamesalitiwa au wametendwa,hii siielewi kabisa,hebu nisaidieni tafadhali!
Nilikuwa najaribu kujibu hilo swali la kwanza tu. Samahani kama nimekosea, nimtazamo wangu tu.kwamba uhakika unakuja kwa kuwa vigezo wanavyotumia kupima upendo kwao vimetimizwa. na vigezo kila mtu anavyake.
Kaka, mi nadhani hata wewe mwenyewe huelewi umeuliza nini. Vinginevyo tukupe mji kaka utengue hicho kitendawiliSoma mada yote uelewe!
Nimesoma yote, nafikiri uelewa wangu ni mdogo. ndo umeishia hapo. Samahani kwa kutokuelewa.Soma mada yote uelewe!
Sija-quote popote isipokuwa nafafanua zaidi ya ulichokiandika kwa mtazamo wangu...usitegemee kuwa sahihi kwa kila ukielewacho.Ulichoki quote umekisoma ukakielewa au hauna uwezo wa kuelewa?
Ni wapi nimesema kujua ni kuelewa?
Swali halina msingi wa mada kuu,i drop it.Unajua maana ya kujua wewe au unaandika tu vitu usivyovijua?
Kuwa na heshima,maana ya "Dogo" ni mbaya kwa tafsiri niitumiayo mimi na jamii inizungukayo.Dogo kujua kuna maana ya kuwa na uhakika na unaweza kutoa uthibitisho
Vyote vyaweza kupingika yategemea na mazingira husika. Uthibitisho wa jambo uhitaji ushahidi timilifu,na ushahidi (evidence) ndiyo huthibitisha jambo.Hivyo ushahidi timilifu(wa kujitosheleza) huaminika katika kuthibitisha jambo.Uthibitisho haupingiki lakini ushahidi unapingika
Si kweli. Hata uthibitisho pia waweza kupingwa kwa uthibitisho kinzani. Siku hizi kuna tape za kutengeza kutokana na maendeleo makubwa ya ICT...naweza kutoa tape kuonesha Juma alikuwa sehemu nyingine na mashahidi wakashuhudia hivyo...hapo nitakuwa napinga uthibitisho wako wa awali...kwahiyo kuna mazingira kwamba uthibitisho unapingika pia.Lakini unapokwenda mahakamani na kutoa uthibitisho huwezi kupingwa
Mfano unaposema umemuona Juma anaiba na ukatoa Tape ya kuonesha Juma akiiba huo ni uthibitisho na haupingiki
ndiyo naweza kutoa. Karibu kwangu, ili uthibitishe mimi na mke wangu tunapendana.Nakualika na kukukaribisha nyumbani (seriously...ni-pm)Sasa nakuuliza unaweza kutoa uthibitisho kuwa unapendwa?
Kuniita dogo ni sawa na kunitusi,hupaswi tafadhali.Rudia kusoma mada dogo!
Nambie jirani..!
mbona unapenda masomo marahisi tu kama ya palizi la bustani jirani
Wanakuwa na vigezo vyao mfano. kuna mtu alinambia anajua anapedwa kwa sababu huyu mumewe alikuwa na ma-girlfriend wengi lakini alimchagua yeye kuwa mkewe.,kigezo cha kuolewawa yeye katika kundi la wengi akajiridhisha anapendwa.
Mwingine akipewa papuchi anajua anapendwa, mwingine akihongwa ela nyingi anajua anapendwa, mwingine akizawadiwa bikra anaju anapendwa na atapedwa milele.mwingine akiambiwa nakupenda basi anaamini na kujua anapendwa. kwa mtazamo wangu nafikiri kuna vigezo wamejiwekea, vikitimizwa wanajua
Wanakuwa na vigezo vyao mfano. kuna mtu alinambia anajua anapedwa kwa sababu huyu mumewe alikuwa na ma-girlfriend wengi lakini alimchagua yeye kuwa mkewe.,kigezo cha kuolewawa yeye katika kundi la wengi akajiridhisha anapendwa.
Mwingine akipewa papuchi anajua anapendwa, mwingine akihongwa ela nyingi anajua anapendwa, mwingine akizawadiwa bikra anaju anapendwa na atapedwa milele.mwingine akiambiwa nakupenda basi anaamini na kujua anapendwa. kwa mtazamo wangu nafikiri kuna vigezo wamejiwekea, vikitimizwa wanajua wanapendwa.
Is not that simple!
Because unadanganya hata wewe unajua hilo!