Mie najipenda Mwenyewe,
Nikisema ananipenda ntakuwa nadanganya,
Sina hakika kama nampenda!!
Na wewe umeanza kuleta bahari za huyo mwalimu wa darasa.
Binadamu tumepewa upeo wa kujua mengi... Unaweza kutumia njia nyingi tu kubaini kama mtu anakupenda.
Hakuna kitu kama hicho,
Moyo wa mtu ni kiza kinene,
Ninachojua mimi, hakuna kitu inaitwa ".....najua naye ananipenda....." Au "......naamini naye ananipenda....."Mnaojua mnapendana njooni mumpe Eiyer ufafanuzi
Ninachojua mimi, hakuna kitu inaitwa ".....najua naye ananipenda....." Au "......naamini naye ananipenda....."
suala la uhakika hapa ni ".......najua nampenda..... " au ".....naamini nampenda......"
Kupenda ni hisia ndani ya moyo wa mhusika, hakuna mtu anaweza kupima kiwango cha hisia za mtu juu yake, zaidi sana ni kuhisi tu. Hivyo huwezi sema ....najua.... Au .....naamini....... Pengine neno zuri lingekuwa ".....nadhani ananipenda....."
ni mawazo yangu tu hayo

Eiyer umeridhika sasa!!
Hujui kiswahili?
big up Eiyer aje mtu aniambie kwa matendo na maneno....
moyo wa mtu ni fumbo hujui anachokuwaizia hayo matendo na maneno ni uongo cos wengine wanapretend tuu believe ur heart only.
sis wasichana wengi tunajiachia baaada ya kuona guy wanasema sweet words of love plus vizawadi...lkin hili ni fumbo la imani
Ninachojua mimi, hakuna kitu inaitwa ".....najua naye ananipenda....." Au "......naamini naye ananipenda....."
suala la uhakika hapa ni ".......najua nampenda..... " au ".....naamini nampenda......"
Kupenda ni hisia ndani ya moyo wa mhusika, hakuna mtu anaweza kupima kiwango cha hisia za mtu juu yake, zaidi sana ni kuhisi tu. Hivyo huwezi sema ....najua.... Au .....naamini....... Pengine neno zuri lingekuwa ".....nadhani ananipenda....."
ni mawazo yangu tu hayo
Najua kichina kiswahili najifunza tuvumiliane.