Hivi mnajuaje hili?

Hivi mnajuaje hili?

Kuna demu alikuwa anadate na mshikaji wetu sasa huyo jamaa ni kicheche sana akiona kila kichaka lazima anye....sasa kuna siku tukaona tumtonye yule demu kuwa jamaa huyu hakupendi sema anakutumia tu...yule demu akawa mkali akaanza kusema jamaa anamupenda kweli na kudhihirisha hilo jamaa kampa password za facebook. Nilishangaa sana kuona Imani ya yule binti kwa yule jamaa yeye aliiiweka kwenye password za facebook..
 
Watu wanaamua wenyewe kuwa wajing.a!
 
Kuna namna zaidi ya million za kujua kuwa flani anakupenda,na namna zangu zaweza zisishabihiane na zako au za yule...so halihitaji kuumiza kichwa kwani tutaendelea kutofautiana milele kutokana na hisia na vigezo vya kupenda/kupendwa kutofautiana kati ya mtu na mtu.

Nijuavyo mimi unaposema kuwa unajua jambo fulani maana yake una uhakika na unachokisema
Si kweli. Kujua si kuelewa...unaweza kujua na usielewe...kwahiyo kujua jambo si lazima uwe na uhakika nalo,isipokuwa kama walielewa jambo lazima utakuwa na uhakika nalo.

Sasa kwenye suala la mahusiano watu wamekuwa wakidai kujua kuwa wenza wao wanawapenda,hii inakuwaje?
Kwa msingi wa tafsiri yangu juu...watu hujua kupendwa na wenza wao kwa muonekano,matendo,mahaba n.k ikiwa hivi huonekana wazi...isipokuwa hawaelewi dhamira ya wenza wao,kwani dhamira iko ndani(malengo ya hisia za mtu)

Kujua ni kule kuwa na ujuzi yaani uhakika kuwa jambo fulani ni kweli
Unaweza kujua leo na kesho ujuzi ukabadilika,ikawa zamani ulikuwa sahihi na sasa si sahihi...kwahiyo kujua,kuelewa na kukubali kuendeleza ujuzi katika mahusiano ni kitu kikubwa zaidi.

Naombeni mniambie huwa mnasema tu au mnakuwa mnajua kabisa kuwa mko sawa?
Au huwa mnaamini tu?
Mahusiano yana raha na shida,iwapo mtu atasema nyakati za raha hana budi kusema pia apatapo karaha.
Kuwa sawa au si sawa hiyo ni tafsiri yetu sisi tulio mbali,msemaji huamini kuwa yuko sahihi hadi atakapothibitishwa tofauti.
 
Hakuna namna milioni kama zipo weka hapa tuzione
Mimi nimesema kwa mujibu wa kamusi kama wewe una namna yako ya kutafsiri hiyo haihitajiki hapa
Si kweli. Kujua si kuelewa...unaweza kujua na usielewe...kwahiyo kujua jambo si lazima uwe na uhakika nalo,isipokuwa kama walielewa jambo lazima utakuwa na uhakika nalo.
Ulichoki quote umekisoma ukakielewa au hauna uwezo wa kuelewa?

Ni wapi nimesema kujua ni kuelewa?
Kwa msingi wa tafsiri yangu juu...watu hujua kupendwa na wenza wao kwa muonekano,matendo,mahaba n.k ikiwa hivi huonekana wazi...isipokuwa hawaelewi dhamira ya wenza wao,kwani dhamira iko ndani(malengo ya hisia za mtu)
Unajua maana ya kujua wewe au unaandika tu vitu usivyovijua?

Unaweza kujua leo na kesho ujuzi ukabadilika,ikawa zamani ulikuwa sahihi na sasa si sahihi...kwahiyo kujua,kuelewa na kukubali kuendeleza ujuzi katika mahusiano ni kitu kikubwa zaidi.
Dogo kujua kuna maana ya kuwa na uhakika na unaweza kutoa uthibitisho

Uthibitisho haupingiki lakini ushahidi unapingika

Unapokwenda mahakani na ukatoa ushahidi unaweza kupingwa
Mfano ukisema ulimuona Juma akiiba unaweza kuhojiwa ili kuona kama unasema kweli na huo ushahidi wako unaweza kupingwa

Lakini unapokwenda mahakamani na kutoa uthibitisho huwezi kupingwa
Mfano unaposema umemuona Juma anaiba na ukatoa Tape ya kuonesha Juma akiiba huo ni uthibitisho na haupingiki

Na hapo waliouona huo uthibitisho watakuwa wamejua kuwa Juma aliiba na watakuwa na uthibitisho wa hilo

Sasa nakuuliza unaweza kutoa uthibitisho kuwa unapendwa?
Mahusiano yana raha na shida,iwapo mtu atasema nyakati za raha hana budi kusema pia apatapo karaha.
Kuwa sawa au si sawa hiyo ni tafsiri yetu sisi tulio mbali,msemaji huamini kuwa yuko sahihi hadi atakapothibitishwa tofauti.
Rudia kusoma mada dogo!
 
Ni kawaida watu kila leo kudai hapa kuwa nina boyfriend/girlfriend/mume/mke au mchumba ambae tunapendana,wengine hufikia kusema kuwa NINA HAKIKA TUNAPENDANA halafu mtu huyohuyo anatoa dukuduku lake kuonesha kuwa ana wasiwasi na huyo mwenzake

Nijuavyo mimi unaposema kuwa unajua jambo fulani maana yake una uhakika na unachokisema

Kuna tofauti kubwa sana kati ya kuamini na kujua kwa mujibu wa dictionary au kamusi

Kwa mujibu wa kamusi kuamini ni ile hali ya kulitarajia jambo fulani bila ya kuwa na hakika nalo

Mfano,unaona kuna mawingu kisha unasema "naamini leo mvua itanyesha kwasababu kuna mawingu"
Hii ina maana kuwa inaweza isiwepo kwasababu mawingu sio mvua ila ni dalili ya mvua na inaweza isinyeshe

Kujua ni kule kuwa na ujuzi yaani uhakika kuwa jambo fulani ni kweli

Mfano unaposema kuwa najua mvua inanyesha na inaonekana inanyesha huo ni uhakika

Sasa kwenye suala la mahusiano watu wamekuwa wakidai kujua kuwa wenza wao wanawapenda,hii inakuwaje?
Unakuwaje na uhakika kwenye hili?

Naombeni mniambie huwa mnasema tu au mnakuwa mnajua kabisa kuwa mko sawa?
Au huwa mnaamini tu?

Nauliza maana hao hao wanaodai kuwa wanajuwa kuwa wanapendwa huja hapa na malalamiko kedekede kuwa wamesalitiwa au wametendwa,hii siielewi kabisa,hebu nisaidieni tafadhali!
Wanakuwa na vigezo vyao mfano. kuna mtu alinambia anajua anapedwa kwa sababu huyu mumewe alikuwa na ma-girlfriend wengi lakini alimchagua yeye kuwa mkewe.,kigezo cha kuolewawa yeye katika kundi la wengi akajiridhisha anapendwa.
Mwingine akipewa papuchi anajua anapendwa, mwingine akihongwa ela nyingi anajua anapendwa, mwingine akizawadiwa bikra anaju anapendwa na atapedwa milele.mwingine akiambiwa nakupenda basi anaamini na kujua anapendwa. kwa mtazamo wangu nafikiri kuna vigezo wamejiwekea, vikitimizwa wanajua wanapendwa.
 
Umesoma mada na ukaelewa?
 
Back
Top Bottom