kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,785
- 20,164
Hivi kuna mtu Kati yenu anakumbuka Kagame and Museven Being enermies with Uhuru? Why are they suddenly siding with Tanzania?? Kagame Na Museven wamekuwa wakishirikiana Na Kenya vizuri mnooooo on economic projects , I am 100% sure hawakuopenda sizonje kuchaguliwa sababu ya urafiki wake na Raila Odinga... .
.
Kumbukeni Kagame is smart, Uhuru is a good politician but our presdent badooo. JK was a good politician Kina Kagame hawakuweza kumchezea Ila kwa sizonje wanamfanyana Kama sijui nn
.
.
Mnakumbuka yale machafuko ya Kenya yalipotokea waLuo waliharibu njia ya Treni from Kenya to Uganda Museveni akatukana mpaka hao kina Raila. Kweli mnadhani leo yuko happy kumuona shosti ake Raila akiwa Rais wa TZ??
.
Hata ile issue ya Museveni kuanza balaa la kutaka kile Kisiwa cha Midingo inasemekana ni Kibaki Ndo alimwambia aanzishe ili wamtoe Raila kwenye focus. Raila nae akavalia njuga iissue na Kibaki akamlipia Na mahela aende UK kutafuta colonia maps by the time karudi Kenya akakuta Kibaki keshamfunika. Inasemekana kabisa it was a plan between Museveni Na Kibaki and it worked like a charm.
.
.
Sasa naombeni tuangalie Trend toka sizonje awe rais wa TZ, kwanza walimpa Uchairman wa EAU bila kupingwa. Alafu kikachostua zaidi sizonje mwenyewe alisema kuwa Kagame Ndo anaempa machimbo ya kununua ndege and so forth. Sasa hapo ndo tupige akili don't you guys think Uhuru kamuweka Kagame kummaliza sizonje Ili Taanzania iishiwe mpaka senti ya mwisho Ili sizonje ashindwe kum-finance Raila odinga kwenye Kampeni za Kenya? Jamani mambo Kagame anayomshauri sizonje hayajapata kutokea, kamshauri anunue Mandege kwa cash, Jamani hakuna nchi yoyote inayofanya kitu Kama hiki cha kununua ndege cash mashirika mengi huwa yanachukua mkopo, Ila Sizonje anamaliza all cash reserves za nchi kufanya vitu cash, Kagame akamshauri ajenge reli cash, sizonje anachotaka pesa anajenga reli cash on hand, treni za umeme a sizonje anatumia cash mkononi! Na ndo maana Sasa hivi nchi imechacha senti 5 hatuna that means sizonje atashindwa kumpa Raila pesa ya maana kufanya kampeni....