Hivi mke wangu anajiandaa kuachana na mimi au?

Kama kuna kitu ukikipoteza katika mahusiano hakuna litakalokuwa sawa ni "Trust"

Mkeo hakutrust tena.....

Je ungekuta mkeo ndio anabanjuka na rafiki yako unadhani ngereact vipi?????

Halafu mwenyewe unajishangaza "kosa gani lisilosameheka????" Unadhani ulichotenda ni kidogo???? Unadhani maumivu alopata mkeo ni madogo

Mpaka um-win tena sio shughuli ndogo

Anyway agent gani huyo anayelipwa 500,000 *kukomboa gari??? Wakikipwa sana ni 250,000
 
mke wako hakuamini tena ingawa muda umepita but bado ana kitu moyon though she won't tell.. kukufumania na best friend wake its not a simple issue aiseee.. try to talk to her again and again it might help..
 
Mie sipo kwenye ndoa na pia nimdogo sana kwako sijui ushauri wangu kama uta faa sana, mie naamini sana kukaa pamoja na kuyaongea na kutafuta njia ya kuya maliza na kila mmoja kuwa na amani, ujue wazi mkeo anamaumivu ya ndani na anawezakudhani amekusamehe lakini kiukweli utu wake wa ndani unaumia vibaya na kitu anachoona kujifariji ni kufanyakitu bila ya kukushirikisha hapo anaona faraja, lakini hakuna kitu kibaya kama maumivu ya ndani na ndio maana mambo mengi yanamuendea kombo,

yeye hawezi jua kama tatizo liko ndani yake ila siku akija kufunguliwa naamini atalia sana,nadhani wewe chakufanya kama ukiongea anakusikiliza,mwambie tu muende kwa viongozi wa dini uanze wewe kuomba msamaha kwake na ujinyenyekeze kwake na ukiri kosa na umuombe huyo mtu wa dini akuombee msamaha na zaidi ya yote muombe Mungu aingilie kati hio situation maana bila ya yeye hakika hamtakuwa na mwisho mzuri kaka na athari ni mpaka kwa watoto pia Mungu awatangulieni
 
Nikuulize Mkuu , ivi ingekua wewe ndio umemfumania kama alivyokufumania wewe Ivi leo hii mgekua pamoja au ingebaki story tuu? Nirahisi kusema kosa Gani lisilo samehewa lakini umekaa ukafikiri umemumiza kiyasi gani?

Ndio tofauti ya mwanamke na mwanaume.Na ndio maana kwenye dini na kiserikali kuna kuna ndoa ya wake wengi lakini hakuna ndoa ya waume wengi.

Mwanaume kufumaniwa ni uzembe tu kidogo,alipaswa awe makini zaidi, lakini mwanamke kufumaniwa ni kosa lisilosameheka.
 
Katika mambo kumi yanayoleta maumivu sana kwenye ndoa hili la wewe kufanya mapenzi na rafiki yake ni la nne kwahiyo anamaumivu bado tumia hela kidogo mtafute marriage counselor au utafute siku tatu kama sio nne za total mapumziko naye asubuhi tu jioni nyie wawili tu kama honeymoon ya kutimiza miaka kumi muangalie vision ya baada ya miaka kumi mweleze kuwa wewe nawe umejua unamadhaifu umdhibitishie hayo ya kuzini na kila siku umpe simu yako akae nayo kama dakika 20 hivi aanze kukuamini upya. Ni hayo tu
 
kuna mtu anamshilikisha mambo yake. ni daktari. anaemtibu maradhi ya moyo na akili. ndie mshauli wake, msili wake na mtu wakaribu nae kuliko wewe.chunguza utaniambia.
 
We tenda wema kwake tu, ndio kazi yako! Kosa ulilolofanya tena Nyumbani ni baya and it's hard for her to put it behind! Your current life will determined!
 
basi wakae juu

cc Madame S

Nidhamu ya uandishi imepaswa kujidhihiri pia hasa kwa great thinkers.

Kukaa chini, kukaa chini hata watoto wenye iq ya ukweli lazima wakutoe nishai sembuse jamvini Jf!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahaa....The Boss njoo umpatie huyu ndugu guidelines za kuchepuka maana lol...wacha nisije nikala ban...
Back to topic Mkeo Ni mwanamke shoka lol...na atakuwa anajitambua haswaa maana wale wanaokurupukaga Na mabegi ooh naenda kwetu or sijui takataka gani....hw wanatania tu...
Dada kashajivika mabom hiyo...anasubiri ukisema "suuu" anajilipua..
Byeee nisitoe siri za kambi...
 
Shosti ule uzi wa lara moko mods wameubaka nini???

Nausaka siuoni

Acha tu shosti Jana kuna mtu kaanza kulia lia eti Lara kapendelea wadada ya wanaume kaweka wazi sana hasa verified user na kada kibamia eti wamejulikana kamwita invisible si ndo wakaitoa kabla ya story ya mchaga nimechokage yani mwingine umetolewa Leo.
 
Back
Top Bottom