Hivi MKE/MME Ni ndugu au Rafiki?!

Hivi MKE/MME Ni ndugu au Rafiki?!

Shamkware

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
1,756
Reaction score
2,309
Habari Wapendwa katka Bwana!

Leo sina mengi ila nataka kujua juu ya hili, hivi mkeo au mmeo ni ni ndugu au rafiki tu? Nazungumzia mke sio mpenzi....!
*Bwana awe nanyi jumapili hii*
 
Bwana awe nawe pia!!

Mke si ndugu' bali ni zaidi ya rafiki!!
 
A husband is more than family, more than a friend.

The love you have for your spouse is sacred because you swore before God that nothing will come between you, until death separates you.

We don't take that oath before God for family or friends, so its above that.
 
wow!!...
 
Mke ni mke na mme ni mme. Utaoanaje na nduguyo?
 
Ni marafiki tu,na urafiki unaweza vunjika wakati wowote,kama mmoja akienda kuoa au kuolewa na mwingine? Undugu uko wapi? Wanaosema hawaachani ni wanafiki tu hawana lolote.
 
Shida ya dv5 inamadhara sana.hiv wewe unaakili timamu au?hiv unaweza unaweza kufanya mapenzi na nduguyo?naomba uulize maswali ya msingi.
 
Habari Wapendwa katka Bwana!

Leo sina mengi ila nataka kujua juu ya hili, hivi mkeo au mmeo ni ni ndugu au rafiki tu? Nazungumzia mke sio mpenzi....!
*Bwana awe nanyi jumapili hii*

.....ni vile wewe unataka,

unaweza mfanya NDUGU kwa tafsiri zote uzijuazo maana ya ndugu, au
unaweza mfanya RAFIKI kwa tafsiri zote za urafiki na thamani zake.

pia, waweza mfanya Rafiki aliye Nduguyo.!
 
Mke na mume sio ndugu kwa sababu wao ni mmoja,,hivyo huwezi kuwa ndugu wa wewe mwenyewe...ni simple logic tu!
 
mke na mume ni two donkeys living happily together
 
Ni ndugu ambaye wakati wowote anaweza kukugeuka na kua adui yako na kukupeleka mahakamani
 
Shida ya dv5 inamadhara sana.hiv wewe unaakili timamu au?hiv unaweza unaweza kufanya mapenzi na nduguyo?naomba uulize maswali ya msingi.

Ukishaona tu mtu wazo lake haliendani na la kwako tayari anakuwa dv V. Nyie ndo mnaotumia makalio kufikiri. Nya...mb..f
 
Ukishaona tu mtu wazo lake haliendani na la kwako tayari anakuwa dv V. Nyie ndo mnaotumia makalio kufikiri. Nya...mb..f

basi iko siku mtakuja na maada ya mke wa baba nae ni mkeo.jaribu kama hujapigwa kisu cha ------ ukijamba unajitonesha,ukinya unafumua nyuzi.
 
Habari Wapendwa katka Bwana!

Leo sina mengi ila nataka kujua juu ya hili, hivi mkeo au mmeo ni ni ndugu au rafiki tu? Nazungumzia mke sio mpenzi....!
*Bwana awe nanyi jumapili hii*
Kabla sijachangia wewe mwenyewe umeoa?
 
Back
Top Bottom