Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,462
Mkapa hakuwahi kwenda uwanja wa taifa kama mgeni rasimi alikuwa anadili zaidi na uchumi wa taifa hili so ni watu wawili tofauti hawa hata kifira
Mkapa hakuwa na time ya kupiga picha na 50cent sijui boyz2 men,wala hakuwa na swaga za kwenda kwenye birth day ya clouds sijui mauchafu gani ye alikua bize na kukusanya kodi na kuhakikisha bei ya sembe haipandi ili watanzania waende chooni...
​Mkapa na JK??? hawalingani kabisa ...MKAPA= MWIZI ,JAMBAZI.....JK hayuko huko!!
Umesahau pia Mkapa alikua busy na kuiba na kuyauza mashirika ya umma...yaani katika marais waliofuja na kuiua hii nchi ni huyu Mkapa...alikua anaumaa sana then anapuliza eti anakusanya kodi my a&%%$££$""
'Nina Imani sana na Mh. Kikwete na tumeshafanya nae kazi kwa muda mrefu tukianzia kule Masasi akiwa Kiongozi wangu wa Chama mimi nikiwa Mbunge'- BWM 30/10/2010. Inaniwia vigumu kuacha kuamini maneno haya na kuanza kuamini vijimaneno vya kwenye Vijiwe vya Bhangi.
[/QUOTE]We we una imami naye kwa sababu mlikuwa na umoja wa kuchukua ma.bi.bi ya watu huko masasi
'Nina Imani sana na Mh. Kikwete na tumeshafanya nae kazi kwa muda mrefu tukianzia kule Masasi akiwa Kiongozi wangu wa Chama mimi nikiwa Mbunge'- BWM 30/10/2010. Inaniwia vigumu kuacha kuamini maneno haya na kuanza kuamini vijimaneno vya kwenye Vijiwe vya Bhangi.
Mkapa Mwizi Fisadi aliyetuingiza kwenye mikataba ya kijinga kabisa! Dhahabu zote zinatoweka, Tanzanite sinasombwa, Uranium zinachimbwa hadi kwenye hifadhi ya Taifa, Vitalu vya Gesi walisha gawana, Rader Mbovu walitubambika kwa pesa za walipa kodi, TANESCO aliihujumu ile mbaya, Alijinyakulia KIWIRA, MKAPA aliuza kila kitu cha nchi hii including majengo ya NBC, NMB nk.... JK hapaswi kuwa karibu na JAMBAZI Mkapa hata siku moja...
Habari wakuu,
Hivi kwa kutazama mwenendo wa Mkapa towards JK,unapata picha gani?Je Mkapa anaonekana kumkubali JK?Je si kweli kuwa Mkapa anajaribu kujiweka kando na siasa za JK?
Tafakari utapata jibu.
HERI YA "JAMBAZI
"MKAPA aliiachia pesa za kutosha kuliko "MSTAARABU KIKWETE"
aliepandisha mfumuko wa bei na kumaliza pesa alioachiwa hazina na
kufufua deni ambalo NKAPA alilimaliza.
Je yeye alikuta kiasi gani? Alikuta nch ikiwa kwenye hali gani? Acha kujisif km una mbio, but msifu na anaekufukuza? Huna hoja nenda kajipange tena.
Kiukweli Mkapa ndio anayempotosha Kikwete baada ya kumuona hamnazo!
si ni mchezo wa kucheza na karata! Wingereza wanasema who get what ,when and how! Mkapa ndiye aliyetoa hotuba ya kumkandamiza Dk Salim na kumbeba JK ....kwa manufaa yake naikiri si kwa mwanufaa ya nchi!Mkapa hajawahi kumpenda JK kwa vyovyote vile...Na hata lile Sakata la gesi Mtwara o, limezidi kuwaweka mbalimbali hawa mabwana...Kwa ufupi Mkapa hakutaka JK awe successor wake in anyway, bt kwakuwa ishatokea hivyo, Mkapa ameamua akae kivyake.