Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,203
- 162,772
Habari wakuu,
Hivi kwa kutazama mwenendo wa Mkapa towards JK,unapata picha gani?Je Mkapa anaonekana kumkubali JK?Je si kweli kuwa Mkapa anajaribu kujiweka kando na siasa za JK?
Tafakari utapata jibu.
we kijana mbona una maswali magumu aisee?[/QUOTEN]
Nimeuliza tu mkuu.
Hata mwinyi na nyerere walikuwa hivyo hivyo
walikuwaje mkuu , hebu tukumbushe .
Nyerere hakuwa anaridhika na maamuzi ya mwinyi, mwinyi akataka kukabidhi nchi, hawa kikwete na mkapa wote ni watoto wa mjini infact hawajawai kupatana
Mkapa hajawahi kumpenda JK kwa vyovyote vile...Na hata lile Sakata la gesi Mtwara o, limezidi kuwaweka mbalimbali hawa mabwana...Kwa ufupi Mkapa hakutaka JK awe successor wake in anyway, bt kwakuwa ishatokea hivyo, Mkapa ameamua akae kivyake.
'Nina Imani sana na Mh. Kikwete na tumeshafanya nae kazi kwa muda mrefu tukianzia kule Masasi akiwa Kiongozi wangu wa Chama mimi nikiwa Mbunge'- BWM 30/10/2010. Inaniwia vigumu kuacha kuamini maneno haya na kuanza kuamini vijimaneno vya kwenye Vijiwe vya Bhangi.
Nyerere hakuwa anaridhika na maamuzi ya mwinyi, mwinyi akataka kukabidhi nchi, hawa kikwete na mkapa wote ni watoto wa mjini infact hawajawai kupatana