Hivi MIPANGO MIJI mnawazimu..??!

Hivi MIPANGO MIJI mnawazimu..??!

Exorcist

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
1,235
Reaction score
1,273
Hivi kweli nyie mipango miji mnawezaje kuachia watu wanajenga hovyo namna hii (ona picha) tena karibu kabisa na mijini..??! Em' fanyeni mbomoe hivyo vibanda haraka sana mjenge grid roads nzuri ziendane na hiyo BRT road hapo kati. Pitisha bulldozer hapo na hakuna kumpa mtu fidia hapo watatutia hasara tu.., kama jitu lilikuwa na ujasiri wa kujenga kiholela basi liwe na ujasiri wa kuvunjiwa na kuhamshwa kihololela!

10320481645_6f66152101_b.jpg
 
Hizo ni nyuma au ni makopo ya heineken yako jalalani?
 
Hizo ni nyuma au ni makopo ya heineken yako jalalani?

Inaboa kweli.., hivi kwanini mtu usiwahi kufanya planning then uuze viwanja ili ufidie gharama ya hiyo planning.., hapa msiseme hakuna fedha ya kufanya hiyo planning.., hiki ni kitu ambacho ni self paying..
 
Leo nimefarijika sana kuona kwenye taarifa ya habari TBC1 kwamba kampuni ya pan-africa inauza viwanya vilivyokuwa surveyed. Kumbe hamjalala..,
 
Back
Top Bottom