Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,610
- 64,460
ok maliza moja kwanza
Mhhh ngoja kwanza Mamndenyi unasema unataka uone file la Dena Amsi kwa nini
Lina siri zetu za muhimu sana ndo maana liko strong room
yeah Mr Rocky amekuita hapa strong room kuna mazungumzo maalumu na ya siri baina yetu wawili tunataka tufungue seal za file lako zitoke hadharani watu washaanza kuhoji kuna nini