hivi mimi ni mzima kweli?

hivi mimi ni mzima kweli?

zimwimtu

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
1,988
Reaction score
1,097
habari za leo,

mim ni kijana wa miaka 28, nina galfrnd wangu ambae huwa tunakutana mara moja au mara mbili kwa mwezi kulingana na ratiba inavyoruhusu, sabab hatuishi karibu sana na kila mtu anafanya kazi, so inakuwa ngumu kukutana katikati ya wiki hivo hukutana wkend tu.

tatizo ki kwamba tukikutana bao la kwanza sichukui dakika, yaan fasta sana. ingwa hujitahidi na foreplay na kumpa orgasm kabla sijaingiza.

napumzika kama 10 min naanza round ya pili, hapo nitachukua kama 10 min kumaliza. napumzika kama 30min naenda ya tatu, hapo nakaa kama 20 min. round ya nne inakuwa poa nakaa zaid ya 30 min. ya tano mpaka anaomba kupumzika yeye mie bado.

kinachoniumiza kichwa ni kwa nin nashindwa ku-control round ya kwanza na ya pili nisichukue muda mrefu kumaliza?
wadau naomba ushauri naweza kufanya nin kuondoa tatizo hili, au ni hali ya kawaida kama nikipata tamu mara kwa mara litaisha..

nawasilisha....
 
teh teh teh teh.... unazini...! siwezi kukupa ushauri...
 
ishu sio quantity eti umepiga vingapi,ishu ni quality.
Eti Mamndenyi uongo? Mi na we si huwaga ni kamoja tu lakini magoti yanalegea,au?
 
Last edited by a moderator:
Hivi hii topic mbona kama nimeiona MMU??
 
habari za leo wana chit-chat,

mim ni kijana wa miaka 28, nina galfrnd wangu ambae huwa tunakutana mara moja au mara mbili kwa mwezi kulingana na ratiba inavyoruhusu, sabab hatuishi karibu sana na kila mtu anafanya kazi, so inakuwa ngumu kukutana katikati ya wiki hivo hukutana wkend tu.

tatizo ki kwamba tukikutana bao la kwanza sichukui dakika, yaan fasta sana. ingwa hujitahidi na foreplay na kumpa orgasm kabla sijaingiza.

napumzika kama 10 min naanza round ya pili, hapo nitachukua kama 10 min kumaliza. napumzika kama 30min naenda ya tatu, hapo nakaa kama 20 min. round ya nne inakuwa poa nakaa zaid ya 30 min. ya tano mpaka anaomba kupumzika yeye mie bado.

kinachoniumiza kichwa ni kwa nin nashindwa ku-control round ya kwanza na ya pili nisichukue muda mrefu kumaliza?
wadau naomba ushauri naweza kufanya nin kuondoa tatizo hili, au ni hali ya kawaida kama nikipata tamu mara kwa mara litaisha..

nawasilisha....

Acha puli kaka
 
Bao ndio nini?

kuna aina mbili ya mabao 1. Bao au kofi la mtu mzima kwa mtoto huitwa ki-bao maana bado hakijafikia ukubwa wa kuwa li bao au BAO. Aina ingine ya bao ambayo ktk somo hili tutaiita namba mbili ni kipande cha gogo kilicho chongwa na kupunguzwa mbaka kufikia saizi ya ubao,ubao huo hutengenezwa vishimo vidogo vidogo ambavyo hutiwa kete ambalo hutumika kucheza,na siku zote wachezaji lazima wawe wawili. Hilo huitwa BAO!
 
habari za leo wana chit-chat,

mim ni kijana wa miaka 28, nina galfrnd wangu ambae huwa tunakutana mara moja au mara mbili kwa mwezi kulingana na ratiba inavyoruhusu, sabab hatuishi karibu sana na kila mtu anafanya kazi, so inakuwa ngumu kukutana katikati ya wiki hivo hukutana wkend tu.

tatizo ki kwamba tukikutana bao la kwanza sichukui dakika, yaan fasta sana. ingwa hujitahidi na foreplay na kumpa orgasm kabla sijaingiza.

napumzika kama 10 min naanza round ya pili, hapo nitachukua kama 10 min kumaliza. napumzika kama 30min naenda ya tatu, hapo nakaa kama 20 min. round ya nne inakuwa poa nakaa zaid ya 30 min. ya tano mpaka anaomba kupumzika yeye mie bado.

kinachoniumiza kichwa ni kwa nin nashindwa ku-control round ya kwanza na ya pili nisichukue muda mrefu kumaliza?
wadau naomba ushauri naweza kufanya nin kuondoa tatizo hili, au ni hali ya kawaida kama nikipata tamu mara kwa mara litaisha..

nawasilisha....

usiogope cha kwanza kina kiherehere sikuzote na what matters is quality na sio wingi wa magoli au kushikilia mpira kwa muda mrefu. mnatakiwa mseme WOW at the end na haiitaji 30min ni maujanja tu
 
mi siku nikifikisha bao nne nadhani papuchi yenyewe itakuwa imeshachanikachanika!

pengine unalodhani tatizo kwako sio tatizo,tatizo ulilonalo ni vibao vyepesivyepesi viiiiiiingi!
 
Back
Top Bottom